Diamond Platnumz Kufikishwa Mahakamani


Kwa nchi hii ukiwa na hela unaweza kupigana na sheria,mbona DITOPILE aliua bado akaendelea kutanua mtaani? Hapo Diamond hana kesi maana ninasikia ana hela ndo maana Wema anamnyonya.
 
nchiii inawatu wapambavu sana yaani msanii kuvaanguo zinazofanana na jeshi basi ishakuwa story ya mjini
kila siku wanawaza ujinga tu

Nguo alizovaa sio kwamba zinafanana, bali ni nguo za jeshi kabisa, na inaonekana kuna mtu alimfanyia mpango akazipata, sio bure.
 

Hahaha! eti DANGOTE.
 
Nchi ya siasa. Ni uchunguzi Kama alivaa au hakuvaa hizo sare, au hawaamini kuwa alivaa
 
Diamond ni RAFIKI wa RAISI.
NARUDIA TENA.
HAGUSWI.

AF TIZAMENI HUYU DOGO ANAVYOCHEZA NA MINDS ZETU.

ALIVAA VILE ON PURPOSE.

TAIFA ZIMA SASA LAMMJADILI.

DAMN.
 
Yaan jwtz imekosa kazi kiasi hiki???????????????????????????damn.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…