Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
siasa tu inapigwa hapa, angekutwa nayo kijana wa ktaa angefanyishiwaAlitakiwa avuliwe pale pale
halafu ahakikishe anatuletea na maiti ya huyo mwanajeshi aliyempokonya sare la sivyo.....!!?Habari ambazo zinaenea kwa kasi hapa mjini kwa sasa ni kuwa Dimond ameambiwa ndani ya saa 48 awe amereport makao makuu ya JWTZ akiwa na sare za jeshi hilo alizovaa siku ya Fiesta,
Kama hiki kitu ni kweli,basi washauri wa Ndomo wafanye mpango mapema kumpeleka kuliko hawa watu wamtafute wenyewe,
Kila la kheri bwana DANGOTE
Sasa ndo utaamini ,kuwa chuki haina macho. Sijui kama Ali kiba ananufaishwa na hili.
Mi naona hili linamuongezea shigongo topics. Yaan tayari ana vichwa vya habari kama mia.
Sasa Diva Beyonce una jisifia ume kamilika mama kila idara mi nitajuaje? Ni pm ur mob namba pliz.Ha ha ha ha ni kweli Diva Beyonce aliye kamilika kamwe hawezi panic never
Ndo jeshi pekee linaloongoza kwa kupiga wananchi wake.
Kweli tupo kijima zaidi