Diamond Platnumz Kufikishwa Mahakamani

Diamond Platnumz Kufikishwa Mahakamani

images (1).jpgIMG_0030.JPG
 
Habari ambazo zinaenea kwa kasi hapa mjini kwa sasa ni kuwa Dimond ameambiwa ndani ya saa 48 awe amereport makao makuu ya JWTZ akiwa na sare za jeshi hilo alizovaa siku ya Fiesta,
Kama hiki kitu ni kweli,basi washauri wa Ndomo wafanye mpango mapema kumpeleka kuliko hawa watu wamtafute wenyewe,
Kila la kheri bwana DANGOTE
halafu ahakikishe anatuletea na maiti ya huyo mwanajeshi aliyempokonya sare la sivyo.....!!?
 
Anafikishwa mahakani anafikishwa mahakamani kiko wapi

Labda mahakama ya ndizi pale Big Brother.........
 
Sasa ndo utaamini ,kuwa chuki haina macho. Sijui kama Ali kiba ananufaishwa na hili.
Mi naona hili linamuongezea shigongo topics. Yaan tayari ana vichwa vya habari kama mia.
 
Sasa ndo utaamini ,kuwa chuki haina macho. Sijui kama Ali kiba ananufaishwa na hili.
Mi naona hili linamuongezea shigongo topics. Yaan tayari ana vichwa vya habari kama mia.

Newz is SEVEN DAYS WONDER!!!!
 
Back
Top Bottom