Sele Mkonje
JF-Expert Member
- Oct 2, 2011
- 643
- 845
Nitoboeee.?
Baada ya nguli wa mziki wa Bongo fuleva kuvunja rekodi ya video yake "kutizamwa" mara nyingi zaidi ya video yoyote afrika kwa muda mfupi wadau wamejitokeza na kusema kuwa "eti" mkali huyo ananunua Viewers ili video zake zionekane zinatazamwa zaidi wakati kiuhalisia Video za Alikiba ndo zinapaswa kuwa na viewers wengi zaidi.
Wadau hao pia wameongeza kuwa hata wale "folowaz" mamilion kule instagram amewanunua na wengi wao ni fake. "Kiukweli DIAMONDI hana hadhi ya kutazamwa mara M1ndani ya siku nne,labda kama amenunua vyuwaz" alisema mkoja wa wakereketwa waliochukizwa na video hiyo kutizamwa zaidi.
Naombeni mniambie hivi ni kweli mtu anaweza kununua "vyuwaz" maana me mgeni katika maswala haya ya mitandao