Diamond Platnumz Kununua Viewers na Followers

Sele Mkonje

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2011
Posts
643
Reaction score
845
Nitoboeee.?

Baada ya nguli wa mziki wa Bongo fuleva kuvunja rekodi ya video yake "kutizamwa" mara nyingi zaidi ya video yoyote afrika kwa muda mfupi wadau wamejitokeza na kusema kuwa "eti" mkali huyo ananunua Viewers ili video zake zionekane zinatazamwa zaidi wakati kiuhalisia Video za Alikiba ndo zinapaswa kuwa na viewers wengi zaidi.

Wadau hao pia wameongeza kuwa hata wale "folowaz" mamilion kule instagram amewanunua na wengi wao ni fake. "Kiukweli DIAMONDI hana hadhi ya kutazamwa mara M1ndani ya siku nne,labda kama amenunua vyuwaz" alisema mkoja wa wakereketwa waliochukizwa na video hiyo kutizamwa zaidi.

Naombeni mniambie hivi ni kweli mtu anaweza kununua "vyuwaz" maana me mgeni katika maswala haya ya mitandao
file.jpg
 
Kwa akili ya kawaida wanasema tuzo anahonga, analipa watu kuja kwenye show, analipa watu kuja kwenda kumpokea, analipa watu ku request nyimbo zake, analipa vituo cha redio visipige nyimbo za wasanii wengine na leo mnadai ananunua viewers na followers..
Hivi inaingia akilini kweli? Kwa madai yenu ni sawa na kusema jamaa ana pesa nyingi sana ya kugawa na kuhonga na mziki haumlipi ila yeye ndiye anaulipa.
Acheni uzushi jamani.
 
Nitoboeee.?
Baada ya nguli wa mziki wa Bongo fuleva kuvunja rekodi ya video yake "kutizamwa" mara nyingi zaidi ya video yoyote afrika kwa muda mfupi wadau wamejitokeza na kusema kuwa "eti" mkali huyo ananunua Viewers ili video zake zionekane zinatazamwa zaidi wakati kiuhalisia Video za Alikiba ndo zinapaswa kuwa na viewers wengi zaidi. Wadau hao pia wameongeza kuwa hata wale "folowaz" mamilion kule instagram amewanunua na wengi wao ni fake. "Kiukweli DIMONDI hana hadhi ya kutazamwa mara M1ndani ya siku nne,labda kama amenunua vyuwaz" alisema mkoja wa wakereketwa waliochukizwa na video hiyo kutizamwa zaidi.
Naombeni mniambie hivi ni kweli mtu anaweza kununua "vyuwaz" maana me mgeni katika maswala haya ya mitandao
CHUKI ZIMEWAZIDI HADI WAMEKOSA HOJA,KILA SIKU WANAZUSHA JAMBO JIPYA NA HAWAMUONI AKISHUKA NDIO TABU HIYO WANAYOPATA.
 
Samahan mtoa mada unaweza tupatia source ya hiyo kitu ulioweka
 
Huyu jamaa katika harakati zake za kutafuta umaarufu waga anakaa tu na kufklia kitu cha kuandika basi, mara ajifanye anatoa ushauri, mara anamponda kiba, mara hivi na vile, hapo hakuna cha mdau wala mkereketwa anabishana na akili zake tu, ss kuna baadhi ya watu watakuja nakutokwa povu weee utazani issue yenyewe ina ukweli wowote

Anyway issue ya kufikisha viewer's1mil kwa siku 4 sio ajabu kwani p-square kwenye bio zao za Instagram wameiweka hiyo video, so wale active followers wa kina paul na peter wanaicheki kupitia kwenye account zao, vivo hivo Diamond pia ana follower's wengi ambao ni active na pia ni msanii maarufu kuliko wengine kwa EA na kati so hapo hakuna cha kununua wala kuhonga, "hard work pays"
 
Nitoboeee.?
Baada ya nguli wa mziki wa Bongo fuleva kuvunja rekodi ya video yake "kutizamwa" mara nyingi zaidi ya video yoyote afrika kwa muda mfupi wadau wamejitokeza na kusema kuwa "eti" mkali huyo ananunua Viewers ili video zake zionekane zinatazamwa zaidi wakati kiuhalisia Video za Alikiba ndo zinapaswa kuwa na viewers wengi zaidi. Wadau hao pia wameongeza kuwa hata wale "folowaz" mamilion kule instagram amewanunua na wengi wao ni fake. "Kiukweli DIMONDI hana hadhi ya kutazamwa mara M1ndani ya siku nne,labda kama amenunua vyuwaz" alisema mkoja wa wakereketwa waliochukizwa na video hiyo kutizamwa zaidi.
Naombeni mniambie hivi ni kweli mtu anaweza kununua "vyuwaz" maana me mgeni katika maswala haya ya mitandao

Mimi nimeangalia zaidi ya mara kumi yotube na sijalipwa naomba nisaidie namba ya Plutnumz anipe changu
 
Nitoboeee.?
Baada ya nguli wa mziki wa Bongo fuleva kuvunja rekodi ya video yake "kutizamwa" mara nyingi zaidi ya video yoyote afrika kwa muda mfupi wadau wamejitokeza na kusema kuwa "eti" mkali huyo ananunua Viewers ili video zake zionekane zinatazamwa zaidi wakati kiuhalisia Video za Alikiba ndo zinapaswa kuwa na viewers wengi zaidi. Wadau hao pia wameongeza kuwa hata wale "folowaz" mamilion kule instagram amewanunua na wengi wao ni fake. "Kiukweli DIMONDI hana hadhi ya kutazamwa mara M1ndani ya siku nne,labda kama amenunua vyuwaz" alisema mkoja wa wakereketwa waliochukizwa na video hiyo kutizamwa zaidi.
Naombeni mniambie hivi ni kweli mtu anaweza kununua "vyuwaz" maana me mgeni katika maswala haya ya mitandao
Naona unatafuta kiki
 
Nisaidieni kwani, "Vyuwazi" ni nini? na wanapatikana wapi na mimi niende?
 
Waswahili wana roho mbaya sana hususan kwa mafanikoa ya mwenzake yupo radhi amtese mtoto wamuenzake kisa tu anakili nyingi darasani

Mtueleze ananunua sh ngapi ujinga haukuanzia kwako mtoa nyuzi Bali inaonekana roho mbaya umerithi toka kwa baba yako
 
mtoa mada anaweza kuwa na hoja lakini ukakuta wale wale 'viewers' ndio wanamponda.
Tanzania ina wamiliki wa simu wanaokadiriwa kufikia milioni 20 na ukute katika hao milioni kumi wanamiliki smart phones. Katika hao milioni kumi unakuta wale division five ni milioni tano na katika hao milioni tano wasiojitambua ni milioni mbili.
Kati ya hao milioni mbili kuna wanaoshinda kwenye mtandao ilimradi wapo tu na hao wakishasikia 'kitu kipya' wanakivamia mara moja na kuweka rekodi ya viewers kwa masaa mawili tu!
Sio mdau sana wa celebrities wa bongo lakini kama hao viewers wanatokea walau nchi 30 tofauti na mabara japo manne basi hoja hii ya Sele Mkonje haitakuwa na nguvu.
 
Back
Top Bottom