Diamond platnumz,kupiga show kwa mara ya kwanza china

Wakuelewa tumekusoma. Waalim wanafanya kazi yao ya kuhakiki kiingilish. BAK please wekea mm ........number one........ nisuuze moyo wangu.
 
Last edited by a moderator:
Wakuelewa tumekusoma. Waalim wanafanya kazi yao ya kuhakiki kiingilish. BAK please wekea mm ........number one........ nisuuze moyo wangu.

Ha ha ha,wanaelewa sanaa basi shidq zinawafanya wawe na chuki
 
Last edited by a moderator:
Tatizo lako unaelekezwa hata huelewi uko kama jiwe la mtoni.
 
Msameheni jamani. Kama kakosea atajirekebisha ukizingatia kimombo sio lugha yetu. Naamin Ujumbe umefika hata kama kakosea lugha. Mia
 
English sio lugha mama wala usiwe na wasiwasi komaa tafuta ela usimshangilie mwanaume mwenzio anaimba ela inaingia ww unaambulia matusi hapa JF
 
Yaani pamoja na kufunga mashine mpya airport bado watu wanapiga show China? Wabongo nomewavulia kofia! President! Umenikumbusha mbali, Pepe Kalle alikuja TZ akakutana na Guramali (rip) akatambulishwa Kuwa ni rais wa Yanga, akatunga na wimbo, aliporudi kwao akapata habari Guramali amekuwa M-bunge wa Ifakara, Pepe Kalle akasikitika sana Guramali kuporomoka toka u-rais mpaka ubunge, akamtumia salamu za kumpa pole.

Body without head
 

JF never boring, nimecheka sana, nadhani mtu kama Pepe Kale akisikia Domo kawa diwani wa Sinza atabaki hoi. From Prezidaa to mbunge!!

Huu ndio ujinga Idd Amin aliukataa Uganda wakati Rais wa chama cha madaktari akijitambulisha kwake alimwambia dhahiri there is only one President here, General Amin.
 

hivi lugha gani unayoweza kuitumia kwa usahihi kabisa?maana kwako kiswahili tatizo na hiyo lugha iliyokuja kwa meli ndio kabisa ugonjwa
 
hahahaha aisee nimecheka sana jf never boring
 
Awe na tahadhari...kule ni kunyonga ama kupigwa risasi ukiwapelekea vitu visivyoeleweka ama vinavyohatarisha kizazi cha Wachina. Hatutaki kusikia habari za "nilibambikizwa vitu visivyoeleweka". kwa maneno mengine ahakikishe mizigo anayokwenda nayo huko China haina viashiria vya bidhaa haramu katika mtazamo wa kichina.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…