figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Heaven on earth njoo umuone mwenzio anavyochapia huku
Mtake radhi Heaven on earth huyu sie mwenzie wala hamjui. Mia
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Heaven on earth njoo umuone mwenzio anavyochapia huku
kwamara ya kwanza leo nimekuunga mkono kwenye hili.
Mtake radhi Heaven on earth huyu sie mwenzie wala hamjui. Mia
Mume wangu kuna nini hapa
Tatizo lako unaelekezwa hata huelewi uko kama jiwe la mtoni.Awali nilitoa taarifa kuhusu Diamond kufanya onyesho la music,mjini Guangzhou China..
taarifa kamili ni kuwa..
onyesho litakuwa siku ya ajumaa tarehe 18.
ndani ya Rich club
..the president z goin to made another history..
View attachment 116687
photo by.heaven.
They hating eer day..we earning eer day
Yaani pamoja na kufunga mashine mpya airport bado watu wanapiga show China? Wabongo nomewavulia kofia! President! Umenikumbusha mbali, Pepe Kalle alikuja TZ akakutana na Guramali (rip) akatambulishwa Kuwa ni rais wa Yanga, akatunga na wimbo, aliporudi kwao akapata habari Guramali amekuwa M-bunge wa Ifakara, Pepe Kalle akasikitika sana Guramali kuporomoka toka u-rais mpaka ubunge, akamtumia salamu za kumpa pole.
Body without head
Awali nilitoa taarifa kuhusu Diamond kufanya onyesho la music,mjini Guangzhou China..
taarifa kamili ni kuwa..
onyesho litakuwa siku ya ajumaa tarehe 18.
ndani ya Rich club
..the president z goin to made another history..
View attachment 116687
photo by.heaven.
They hating eer day..we earning eer day
Yeah wanasema cna elim.
ila usikute silingani nao kabisaa kimaendleo
president??
Tatizo lako unaelekezwa hata huelewi uko kama jiwe la mtoni.
Yaani pamoja na kufunga mashine mpya airport bado watu wanapiga show China? Wabongo nomewavulia kofia! President! Umenikumbusha mbali, Pepe Kalle alikuja TZ akakutana na Guramali (rip) akatambulishwa Kuwa ni rais wa Yanga, akatunga na wimbo, aliporudi kwao akapata habari Guramali amekuwa M-bunge wa Ifakara, Pepe Kalle akasikitika sana Guramali kuporomoka toka u-rais mpaka ubunge, akamtumia salamu za kumpa pole.
Body without head
hahahaha aisee nimecheka sana jf never boringJF never boring, nimecheka sana, nadhani mtu kama Pepe Kale akisikia Domo kawa diwani wa Sinza atabaki hoi. From Prezidaa to mbunge!!
Huu ndio ujinga Idd Amin aliukataa Uganda wakati Rais wa chama cha madaktari akijitambulisha kwake alimwambia dhahiri there is only one President here, General Amin.