Diamond platnumz,kupiga show kwa mara ya kwanza china

Jamani ss mtoa mada atajuaje alipokosea? Coz naona wote mnakazana tuh kumkandia na cjaona hta mmoja alomsahihisha, punguzeni maneno jamani khaah yni mnakazana tuh kucomment bila kutatua tatizo, hyo haiko poa asee. CORRECTION, The president is going to make another history. Ni hayo tuh.
 

cc .. heaven on desert
 
Last edited by a moderator:
Wenye hekima kama wewe hum.
Ni wachache sana
 
Acha uvivu wewe.ingia youtube kwnye account ya diamond.
Diamond matukio yake yote ana team ya kumrekodia kila kitu.
nenda youtube tunatupiaga huko.
unaendaje huko youtube kwa account yake wengine hatuko vizuri katika matumizi ya utandawazi, natumai kunielekeza ni sehemu ya majukumu na sehemu ya kazi yako na sio kupost tu, nasubiria bosi nami nijionee kazi za bosi wako nimevutiwa na unamvyomsifia mkuu..fanya hima week end niburidike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…