Jamani ss mtoa mada atajuaje alipokosea? Coz naona wote mnakazana tuh kumkandia na cjaona hta mmoja alomsahihisha, punguzeni maneno jamani khaah yni mnakazana tuh kucomment bila kutatua tatizo, hyo haiko poa asee. CORRECTION, The president is going to make another history. Ni hayo tuh.