Diamond Platnumz kutumbuiza tamasha kubwa la music Malawi

Diamond Platnumz kutumbuiza tamasha kubwa la music Malawi

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,386
Diamond platnumz ameendelea kudhihirisha ukubwa wake baada ya kuchaguliwa kutumbuiza kwenye tamasha kubwa la Music nchini Malawi .
Diamond amechaguliwa baada wananchi wengi kupendekeza .
Sand music festival ndo tamasha kubwa zaidi nchini malawa likijumuisha wasanii mbalimbali ndani na nje ya Malawi likifanyika kwa siku 3 mfululizo kuanzia tarehe 28 hadi 30 mwezi huu
1476035735274.jpg

All the best platnumz
 
Wa Malawi walimfata show ya kyela mbeya sembuse kwenda kwao haya washaaa moto washaa[emoji91][emoji91][emoji91] songaa ugali songa wamekodoa kodooo wanakodoo wamchangani macho kodooo[emoji32][emoji32] chibudeee
 
Hapo safi, sio kilasiku kenya na nigeria
 
Back
Top Bottom