Diamond Platnumz kutumbuiza tamasha kubwa la music Malawi

Diamond Platnumz kutumbuiza tamasha kubwa la music Malawi

Lakini Chris Brown wala wizkidayo hawatakuwepo
Yeye ndo maini artist haendi kumsingikiza mtu kule
Kama Wizkid alivyokuja fiesta wengine wakawa wasindikizaji waliotangazwa na wa surprise
 
Watanzania sisi hopeless sana..
Ishu ya msanii wetu kuwaklsha nchi nyngne jingajingaz lnaleta team.....
Embu tubadilike..
 
Aisee naona anasindikizwa na team kubwa.. ! Endelea kuwakilisha vyema Tz
 
Live Long Naseeb, tupo wachache ambao Umuhimu wako tunauona kabla hujafa...
 
Ninachompendea huyu kijana ni ana nidhamu ya hali ya juu!!!anajituma sana...mwenyezimungu aendelee kukuweka hai na kukubariki daima Nassibu wetu
 
Nimeshachoka habar za uyo mtu kila siku kwan hakuna wengine
 
Back
Top Bottom