Diamond Platnumz kutumbuiza tamasha kubwa la music Malawi

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,386
Diamond platnumz ameendelea kudhihirisha ukubwa wake baada ya kuchaguliwa kutumbuiza kwenye tamasha kubwa la Music nchini Malawi .
Diamond amechaguliwa baada wananchi wengi kupendekeza .
Sand music festival ndo tamasha kubwa zaidi nchini malawa likijumuisha wasanii mbalimbali ndani na nje ya Malawi likifanyika kwa siku 3 mfululizo kuanzia tarehe 28 hadi 30 mwezi huu

All the best platnumz
 
Wa Malawi walimfata show ya kyela mbeya sembuse kwenda kwao haya washaaa moto washaa[emoji91][emoji91][emoji91] songaa ugali songa wamekodoa kodooo wanakodoo wamchangani macho kodooo[emoji32][emoji32] chibudeee
 
Hapo safi, sio kilasiku kenya na nigeria
 
Huyu dogo aachwe bwana anajua sana tu
wa mchangani watupishe[emoji41]
Team kibakuli "Wanakodoa koodo"
Wa Malawi walimfata show ya kyela mbeya sembuse kwenda kwao haya washaaa moto washaa[emoji91][emoji91][emoji91] songaa ugali songa wamekodoa kodooo wanakodoo wamchangani macho kodooo[emoji32][emoji32] chibudeee

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Lakini Chris Brown wala wizkidayo hawatakuwepo
 
safari njema,umwambie rais huko sisi hatujaribiwi aache ziwa letu.

Sent from Bombadier Q400 using JamiiForums aeroplane app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…