Diamond Platnumz kuzindua night club yake ya kimataifa hivi karibuni

Diamond Platnumz kuzindua night club yake ya kimataifa hivi karibuni

Comments za watu sasa mie niko hoi hapa lol, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Mwanamuziki namba moja Africa kwa sasa ambaye pia ni mfanyabiashara level za millionea Nasibu Nyange Abdul almaarufu Simba au Diamond Platnumz anakamilisha kuzindua club yake yenye hadhi ya kimataifa ukoo upepo unapovuma.

View attachment 2142273
Kumbe siku ile mama yake aliponunua shehena ya mbao baadae akapost wanajenga kumbe ndo ilikuwa hii project.
Ukiachilia mambo mengine, kijana kainua familia yake kwakweli
 
Yaani msanii no 1 afrika halafu ni milionea..[emoji1787][emoji1787][emoji1787]....
 
Mabasi ya mikoani,Karanga n chibupafume vimeishia wapi?
 
Mwanamuziki namba moja Africa kwa sasa ambaye pia ni mfanyabiashara level za millionea Nasibu Nyange Abdul almaarufu Simba au Diamond Platnumz anakamilisha kuzindua club yake yenye hadhi ya kimataifa ukoo upepo unapovuma.

Kuna wasanii nawaona akili zao wameziweka kwenye kushindana bila kufikiria kesho yao, huyu dogo hata kesho akiacha mziki bado hela ina flow, sizani kama wenzake wanalifikiria hilo

Manake msanii asipowekeza sasa hivi baadae ndio wanaanza malalamiko.Mziki huu hamna mwenye hati miliki nao.
 
Back
Top Bottom