Diamond Platnumz kwenye tamasha moja na Bruno Mars na John Legend

Hawataperformance wote kwa pamoja physically bali itakua 'virtual' kutokana na janga la corona. Someni kwa kuelewa sio unapost kwa mihemuko. Tamasha la mwaka huu litakua virtual.

"Media, technology and commerce company Essence announced on Friday (June 19) that for the first time in its 25 year history, their annual festival will be going virtual."

Na tafsiri ya neno 'virtual' ni "not physically existing as such but made by software to appear to do so."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…