Diamond Platnumz kwenye tamasha moja na Bruno Mars na John Legend

Diamond Platnumz kwenye tamasha moja na Bruno Mars na John Legend

Franky Samuel

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2018
Posts
5,195
Reaction score
13,785
Kijana wa tandale atatamba tena kwenye tamasha kubwa la ESSENCE FESTIVAL CULTURE ambalo litakua linajumuisha mastaa kibao kutoka pande zote za Dunia akiwemo Burnaboy pia kutoka Nigeria.

20200620_151415.jpg
 
Hawataperformance wote kwa pamoja physically bali itakua 'virtual' kutokana na janga la corona. Someni kwa kuelewa sio unapost kwa mihemuko. Tamasha la mwaka huu litakua virtual.

"Media, technology and commerce company Essence announced on Friday (June 19) that for the first time in its 25 year history, their annual festival will be going virtual."

Na tafsiri ya neno 'virtual' ni "not physically existing as such but made by software to appear to do so."
 
Back
Top Bottom