Diamond Platnumz kwenye tamasha moja na Bruno Mars na John Legend

Hawataperformance wote kwa pamoja physically bali itakua 'virtual' kutokana na janga la corona. Someni kwa kuelewa sio unapost kwa mihemuko. Tamasha la mwaka huu litakua virtual.

"Media, technology and commerce company Essence announced on Friday (June 19) that for the first time in its 25 year history, their annual festival will be going virtual."

Na tafsiri ya neno 'virtual' ni "not physically existing as such but made by software to appear to do so."
Watu walikimbia umande mkuu
 
robidinyo, "ze mnyama mkali" mwenye magroup yake whtsup, tafadhali tupe update za ushiriki wa king uchwara maana yeye hapendi sho ofu
Yupo kwenye magroup yake uko saiz anashare mshumaa
 
Hawataperformance wote kwa pamoja physically bali itakua 'virtual' kutokana na janga la corona. Someni kwa kuelewa sio unapost kwa mihemuko. Tamasha la mwaka huu litakua virtual.

"Media, technology and commerce company Essence announced on Friday (June 19) that for the first time in its 25 year history, their annual festival will be going virtual."

Na tafsiri ya neno 'virtual' ni "not physically existing as such but made by software to appear to do so."
Mmmmmh mbona maelezo meeengi.Iwe physically or spiritually cha msingi atashiriki kwenye tamasha IMEISHA HIYO
 
Hawataperformance wote kwa pamoja physically bali itakua 'virtual' kutokana na janga la corona. Someni kwa kuelewa sio unapost kwa mihemuko. Tamasha la mwaka huu litakua virtual.

"Media, technology and commerce company Essence announced on Friday (June 19) that for the first time in its 25 year history, their annual festival will be going virtual."

Na tafsiri ya neno 'virtual' ni "not physically existing as such but made by software to appear to do so."
What is your point ?
 
Back
Top Bottom