Diamond Platnumz, Ludacris na Swizz Beatz washiriki kwenye jambo hili…

Wewe ndio mshamba chwiiiiii unajua nini wewe hata kwa kiswahili changu ungeelewa kaa na u oni tauni wako.... eeeh kituko chokaraaaa kwisha jichimbie kabla sechi downtown kwa nilichoongelea...hiloooo

Umejiona unajua aaaaaagh, bonge la kimbele mbele kuniwekea neno ambalo nilikuwa siliongelei...kwenda mbele na teke chokarwaaaaa wewe
ha ha ha ,hujui kwanza kuandika rudi shule binti au umaskini unakusumbua

https://www.jamiiforums.com/index.php?posts/6390741

Huu ni ushahidi mwingine unaoonesha shule imekupitia kushoto
 
Na bado uandishi wangu ndio huo, mbishi kama nini umenitia maneno na uchwaraaa wako ukashinda unasaka yangu eeeeh na badwo...ukimaliza hapa nenda kanisome kona zako. Utafikiri kuandika humu napata shahada...wewe andika uzipate...aaaagh na bado.
 
ha ha ha wewe sio mzima,pole sana!

Dawa yako upate dudu utatulia tu!
 
Back
Top Bottom