Msikilize 50 Cents alivyowapa makavu BET; kisa tu anaamini BET wamezingua kwa kutoa award ya Best Male Actor kwa Terrence Howard wa Empire badala ya Omari Hardwick, aka James "Ghost" St. Patrick wa Power, show ambayo 50 ni Executive Producer!!MeekMill anamdiss Drake, sasa hivi kuna misunderstanding lakini watu wanaona ni internet beefing. Tumewahi kuona diss kutoka kwa mahardcore kabisa kama Eminem au Snoop Doggy tena wakieleza kwa madem. Chriss Brown alisharusha maneno kwa X wake. Tumeshaona beef za kwenye internet kama Iggy Azalea vs Snoop Doggy, Iggy Azalea vs Eminem, Iggy vs Britney Spears, Taylor Swift vs Katy Perry......Yaani orodha ni ndefu. Na hawa ni wamarekani wala sio waswahili.
Last edited by a moderator: