Diamond Platnumz; Mafanikio ya Kimataifa, Tabia za 'Kiloko'

MeekMill anamdiss Drake, sasa hivi kuna misunderstanding lakini watu wanaona ni internet beefing. Tumewahi kuona diss kutoka kwa mahardcore kabisa kama Eminem au Snoop Doggy tena wakieleza kwa madem. Chriss Brown alisharusha maneno kwa X wake. Tumeshaona beef za kwenye internet kama Iggy Azalea vs Snoop Doggy, Iggy Azalea vs Eminem, Iggy vs Britney Spears, Taylor Swift vs Katy Perry......Yaani orodha ni ndefu. Na hawa ni wamarekani wala sio waswahili.
Msikilize 50 Cents alivyowapa makavu BET; kisa tu anaamini BET wamezingua kwa kutoa award ya Best Male Actor kwa Terrence Howard wa Empire badala ya Omari Hardwick, aka James "Ghost" St. Patrick wa Power, show ambayo 50 ni Executive Producer!!

Last edited by a moderator:
Sometimes heshima kitu cha bure,niliona aibu alipopewa tuzo kaanza kuongea vizuri kwa english,alipoongea kwa kiswahili akapiga kelele ""papapapapaaah paaah '',kama anauza mitumba tandale.

Kwanini ulifurahi alivyoongea vizuri kwa English halafu ukachukia alivyopiga kelele kwa kiswahili? Ukiishi kwa expectations you will end up dissapointed. Hasa pale ulichokitarajia kisipotokea.
 
Umeongea vizuri sana. Sana. Ila mwishoni umeleta ukuda. Diamond hajasahau na hawezi sahau alipotoka.

Hili amekwisha lidhihirisha ktk interviews.

Hajawahi kana mwanzo wake.

Diamond hana dharau, ila huriakti kutokana na anachokipokea. Tena huvumilia sana, yakimfika kooni ndo anayatoa.

Unaposema aache uloko unamaanisha nin? Kuna njia gani nyingine ya kumuaddress mloko zaidi ya wewe kujifanya mloko.
Jokate mloko, kamuadress kiloko. What else.

Au na kwa wale wa andishi wa habari alibehave kiloko?
 
Wabongo sisi bwana! Huwa napata picha Kanye West alivyosema alioga mara ngapi sijui ili atembee na Kim baada ya kutoka kwa Amber ingekuwa diamond amesema hivyo baada ya kuachana na mmoja wa Ex wake na kwenda kwa mwingine nadhani yangepangwa maandamano mpaka Nyumbani kwake ili kumtoa asulubiwe hahhaha!
 
Kwanini ulifurahi alivyoongea vizuri kwa English halafu ukachukia alivyopiga kelele kwa kiswahili? Ukiishi kwa expectations you will end up dissapointed. Hasa pale ulichokitarajia kisipotokea.
alipokuwa anaongea kwa kiswahili ni tofauti na english,alipoongea kiswahili aliyokuwa anaongea ni kukomoa au kushow watui flani kwamba kafanikiwa.

take from me,diamond akifulia kwa tabia zake wabongo watamponda sana hata kuliko mr nice
 
Wabongo sisi bwana! Huwa napata picha Kanye West alivyosema alioga mara ngapi sijui ili atembee na Kim baada ya kutoka kwa Amber ingekuwa diamond amesema hivyo baada ya kuachana na mmoja wa Ex wake na kwenda kwa mwingine nadhani yangepangwa maandamano mpaka Nyumbani kwake ili kumtoa asulubiwe hahhaha!
mi sina timu,alikiba na diamond wote nawakubali,diamond yupo juu kuliko alikiba kisanaa,ila hawa wasanii wanatakiwa kujiheshimu,pia kuonyesha hawaegemei upande wowote,kila mtu anatakiwa washauri hata mambo ya kuongea na kupost.
 
alipokuwa anaongea kwa kiswahili ni tofauti na english,alipoongea kiswahili aliyokuwa anaongea ni kukomoa au kushow watui flani kwamba kafanikiwa.

take from me,diamond akifulia kwa tabia zake wabongo watamponda sana hata kuliko mr nice

Kukomoa au kushow watu flani kuwa kafanikiwa! Ulichukia? kama ulichukia kwanini, mbona mi nilifurahi sana nilipomsikia akiongea kwa kiswahili na kiingereza.

Hata kama angeishi kama malaika watakuja kumponda tu kwahiyo sioni jipya katika unalolisema.

Kwanini unaiwaza sana siku ya diamond kufulia!
 
Hapo mwisho hapo! Huwa mnasahau sana kuwa wasanii nao ni binadamu.
 
Kukomoa au kushow watu flani kuwa kafanikiwa! Ulichukia? kama ulichukia kwanini, mbona mi nilifurahi sana nilipomsikia akiongea kwa kiswahili na kiingereza.

Hata kama angeishi kama malaika watakuja kumponda tu kwahiyo sioni jipya katika unalolisema.

Kwanini unaiwaza sana siku ya diamond kufulia!

Halafu hiyo kauli yao ya kumsubiri diamond kufulia waliianza kabla Majesty Diamond hajamiliki Hekalu!mpaka sasa yuko white house lakini bado tu wanasubiri!

Watasubiri sana!tena ikiwezekana walale kabisa kwenye kitanda na blanket juu wakimsubiria!jamaa hafulii leo wala kesho
 
.....................ok
 
Wakishalala kitandani na kujifunika blanket uniite niwashushie net ili wasisumbuliwe na mbu walale vizuri wachelewe kuamka hahahaaaaa😂😂😂😂😂
 
ahahahaaa hilo bonge la wazo aisee!naona wamekaa sasa kitandani wanasinzia sinzia!washikapitiwa na usingizi tu nakuja fasta kukuita!!
 
+ni kweli kuna mahali dogo huwa anakosea, hakuna mkamilifu.

+lakini hivi ni kweli Diamond alishasemaga hataki kusemwa akikosea?
 
Sometimes heshima kitu cha bure,niliona aibu alipopewa tuzo kaanza kuongea vizuri kwa english,alipoongea kwa kiswahili akapiga kelele ""papapapapaaah paaah '',kama anauza mitumba tandale.

Mbona iyo n kawaida inatokana furaha alionayo mtu mbona ronaldo alipiga kelele alipochukua tuzo ya mchezaji bora wa dunia nae n muuza mtumbo its just a sign of celebration
 
Ustaa uja pamoja na scandal, scandal zikiisha zinaondoka zinasahaulika ila jina linabaki. Ishu ni namna unavyoendelea kulitumua hilo jina.

Uswahili wake na uloko ndio vinamfanya Diamond huyu unaempenda au usiempenda ila unafatilia kila step yake mwisho wa siku wanaompenda na wasio mpenda wote ni mashabiki wake. Mnaomuona huyu dogo anakurupuka kwa anayoyafanya mjifikirie mara mbili.
 
alipokuwa anaongea kwa kiswahili ni tofauti na english,alipoongea kiswahili aliyokuwa anaongea ni kukomoa au kushow watui flani kwamba kafanikiwa.

take from me,diamond akifulia kwa tabia zake wabongo watamponda sana hata kuliko mr nice
Viol, let me tell you something man... don't ever expect watu staili hii wakawa kama ambavyo anavyoongea Kadinali Pengo au Constantine Magavilla... the problem mnataka official and conservative touch kama ambayo tungeiwakilisha mimi na wewe na CV zetu mkononi!! Mnachotaka nyinyi mtu aende ku-party akiwa amevaa suti au dela!!! Mnachotaka nyinyi muumsikie mtu kama Kadinali Pengo akisema: "dah, e bhana eeeh, asiwaambie mtu, Yesu Kristo ndo mpango mzima usawa huu...!"HAIWEZEKANI.... ... hili ni kundi tofauti!! Hivi kabisa, do you believe kutoka moyoni mwako kwamba alichokifanya Diamond ni kipya kwako kukiona kutoka kwa wasanii?

Tatizo lingine mnataka watu wa-pretend instead of being themselves!

Kwamba akifulia eti wabongo watamponda... hivi ndugu wewe ni mgeni hivyo kwa wabongo? Huyu Ali Kiba watu wamemponda mara ngapi wakati hata kuongea kwenyewe hajui? Halafu hivi kwanini mnapenda sana kutumia "akifulia?" Kwanini alternatively msiwe mnasema "huyu jamaa akifika level za akina Chris Brown ndo atazidisha shobo zake na kuanza kupita kutukana watu mitaani!" Yaani watu ramli zenu ni katika downfall tu, BASI!
 
Ustaa uja pamoja na scandal, scandal zikiisha zinaondoka zinasahaulika ila jina linabaki. Ishu ni namna unavyoendelea kulitumua hilo jina.

Uswahili wake na uloko ndio vinamfanya Diamond huyu unaempenda au usiempenda ila unafatilia kila step yake mwisho wa siku wanaompenda na wasio mpenda wote ni mashabiki wake. Mnaomuona huyu dogo anakurupuka kwa anayoyafanya mjifikirie mara mbili.
Na huu ndo ukweli wenyewe... tatizo watu wanataka kuchanganya makundi ya watu mbalimbali ndani ya kapu moja! Yaani mtu anatarajia msanii awe sawa na mtoto mkusanya sadaka kanisani... hawajui msanii ukijifanya msataarabu na muungwana unakuwa unazingua coz' drama ni part and parcel ya wasanii wote duniani including wasanii wa Injili!!!!
 
Back
Top Bottom