Mchizi kelele nyingii ndio hiko hata mimi concern yanguJamaa anaongea saana. Any way all the best man from tandale
Yeah nilimiskia na sikuamini mpaka nikasikiliza mara 5 ndio nikaamini alichoongea queen darlin. Angekua Esma hapo sasaDada yake aliongea kwamba Zari ameiinua sana WCB na Diamond.. haswa kuanzia kuwa na ofisi ilikuwa ni idea ya Zari na alichangia mengi isimame tho na Dee aliweka kiasi
Upo sawaDiamond asiongee kwa dharau kiasi hicho, ni afadhali akakaa kimya afanye mambo yake. Mafanikio yake yataongea ila kuanza dharau na kejeli kwa wengine sio kitu kizuri.
Kibongo bongo ye ndo vile katusua!!!acha tukomeeee!!!Simchukii kwa sababu hata niki mchukia haimuathiri.
But nani mwenye mafanikio ambaye watu hawataki kumshusha duniani? He is acting kama dunia nzima ina muandama.
Na ana react kama ni mtu wa nuhimu duniani.
This is bad
Katusua ila apunguze pride zisizo na msingi. Au aendelee kupambana na wengine asifocus kwetu a focus kwa level za kina wizkid huko.Kibongo bongo ye ndo vile katusua!!!acha tukomeeee!!!
Apunguze kibri si maungwana!!!na haipendezi!Katusua ila apunguze pride zisizo na msingi. Au aendelee kupambana na wengine asifocus kwetu a focus kwa level za kina wizkid huko.
Pride comes before a fall.
Enheee! Ndio wazo langu hiliApunguze kibri si maungwana!!!na haipendezi!
kina kiba100team Vichupi kunuka wanambania
acha ubaya wew kwani shetani babaako ....Hivi diamond angekuwa amefikia mafankio kama ya Davido inaonekana tusinge kaa nchini hapa
Sio ashajiona SHUJAA,kwa alikotoka mpaka alikofikia yeye ni SHUJAA..!Huyo Ndomo ashajiona amekuwa SHUJAA sana wa MAISHA.
Anyway, YETU MACHO !
Endeleen na kingerezaAaah
No kuna tofauti kati ya kujiamini na majivuno
Tofauti ni ndogo sana hapo kuivuka ni easy
Haha kula likeHivi diamond angekuwa amefikia mafankio kama ya Davido inaonekana tusinge kaa nchini hapa
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Haha kula like