Diamond Platnumz: Mimi ni kama maji usipoyanywa basi utayaoga, awaonya wanaoibania WCB

Diamond Platnumz: Mimi ni kama maji usipoyanywa basi utayaoga, awaonya wanaoibania WCB

Ye kaongea hivyo and he meant it. Sasa wewe chukulia unavyotaka.
 
Huyo Ndomo ashajiona amekuwa SHUJAA sana wa MAISHA.

Anyway, YETU MACHO !
 
Uko sawa kabisa DP..!
Muda wa kuwaramba watu makalio haupo..!
Ahahaaaah..!
 
Huyu mjomba anagawa ajira lakini majobless bado wanamchukia tu.
 
Back
Top Bottom