Diamond Platnumz: Mimi ni kama maji usipoyanywa basi utayaoga, awaonya wanaoibania WCB

kwahiyo wizzkid ..run town .Casper nyovest ..wamezaliwa wakakuta kwao zipo...wewe Jamaa bwana ...umeshawahi kuskia wana mashauzi yakiboya...

Mashauzi gani ya kiboya uliyokuwa unayazungumzia hapa..!?
Jamaa yenu ana paswa kuwa gentleman aiseee
Kipi alichokisema Diamond ambacho kinakufanya umuone si gentleman..?
 
jibu hoja ...sio unaruka ruka tu kama bisi kwenye kikaango ...jitu zima unaendekeza ushabiki wa kipuuzi "" period
Hoja gani ambayo unaitaka wewe MWEHU..!?
Diamond amesema hakuna MTU anaweza kumshusha labda Mungu apende...
Wewe ukaja na hoja kuwa Diamond anamashauzi sana pia sio gentleman kama akina wizkid..!
Nimekuletea maneno ya wizkid yanayofanana na ya Diamond kukuonesha kuwa hata huyo wizkid ameshawafanya hiki unachokiita mashauzi,pia nimekuletea uthibitisho wa hao wakina wizkid wakilalamikiwa kuwa na tabia za kujisikia..!

Hoja ipi ambayo sijakujibu Great Thinker..?
 
pitia upya post namba 56 kisha ndio utoe tena hoja yako hapa....maana naona wachanganya madesa....unanilisha maneno ambayo sijayaongea daahhh wewe Jamaa bhanaa unaonekana unaakili but huwenda ikawa umeteleza ..mkuu mimi nilikuwa nimejibu reply ya mtu aliyesema chibu ametokea kwenye 0 ndio maana nikawataja hao kina rutown na kina wizzy but sikuwa namaanisha kuwa chibu hana haki yakusema kuwa hakuna wakumshusha ...duuughhhh...
 
Oooh...
Uwe na Alfajiri njema Chief (kama upo Tanzania)
 
Mashauzi gani ya kiboya uliyokuwa unayazungumzia hapa..!?

Kipi alichokisema Diamond ambacho kinakufanya umuone si gentleman..?
hahaa asante kumbe umeileta post hapa ...ni hivi "" Jamaa inafahamika wazi kuwa ni kioo cha Jamii right ana familia na alikuwa ana demu yupo nae in luv na kila mtu alikuwa anajua kuhusu hilo ...vitendo vyake vyakutoka toka na machicks ilhali anayemtu ambaye wamesha kuwa na familia tena mbaya zaidi mpka jamii yote inajua kuwa jamaa ana cheat familia yake ..unaona kuwa nivitendo vya kigental men ""
mbona yapo mambo mengi tu " like mara sijui katoka na tunda ..mara cjui hamisa ..mara cjui " katoweka na sepetu mara cjui "" blaaa blaaaa blaaahh kibao ambazo huwa unazisikiaga kwa media i know wazijua ...mimi content yangu haikuwa ime base kwenye topic ya mtoa mada "" bali ilikuwa inazungumzia vibweka vya maisha yake jamaa vinavyotokea kila nyakati ambavyo sio vitendo vya ki gentalmen"".so "" kama u mwerevu utakuwa umeelewa
 
Oooh...
Uwe na Alfajiri njema Chief (kama upo Tanzania)
hahaaaa kumbe upo ng'ambo ndio maana wanisumbua ..maana huko ulipo ni asubuhi. hebu acha nilale ...
but we gud ...tuko pamoja chief
 
hahaa asante kumbe umeileta post hapa ...ni hivi "" Jamaa inafahamika wazi kuwa ni kioo cha Jamii right ana familia na alikuwa ana demu yupo nae in luv na kila mtu alikuwa anajua kuhusu hilo ...vitendo vyake vyakutoka toka na machicks ilhali anayemtu ambaye wamesha kuwa na familia tena mbaya zaidi mpka jamii yote inajua kuwa jamaa ana cheat familia yake ..unaona kuwa nivitendo vya kigental men ""
mbona yapo mambo mengi tu " like mara sijui katoka na tunda ..mara cjui hamisa ..mara cjui " katoweka na sepetu mara cjui "" blaaa blaaaa blaaahh kibao ambazo huwa unazisikiaga kwa media i know wazijua ...mimi content yangu haikuwa ime base kwenye topic ya mtoa mada "" bali ilikuwa inazungumzia vibweka vya maisha yake jamaa vinavyotokea kila nyakati ambavyo sio vitendo vya ki gentalmen"".so "" kama u mwerevu utakuwa umeelewa
Hapa nimekuelewa vyema sana..!
 
Hivi diamond angekuwa amefikia mafankio kama ya Davido inaonekana tusinge kaa nchini hapa
Lengo lake limetimia,ukisikiliza vizuri amaesema yeye ana Content kibao na ana uwezo wa kuzalisha Conten akaongelewa yeye tu muda wote,sasa si umeona mwenyewe tunavyomjadili hapa kwa kauli zake hahahahahahahahahaha Kweli mwana ni kama Maji.
 
Diamond asiongee kwa dharau kiasi hicho, ni afadhali akakaa kimya afanye mambo yake. Mafanikio yake yataongea ila kuanza dharau na kejeli kwa wengine sio kitu kizuri.
Ashakuambia ye ni kiwanda cha kuzalisha Content,dawa yake akiongea nyie kaeni kimya msimjadili...otherwise bado ataendelea kudumu vichwani mwenu
 
Back
Top Bottom