George Betram
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 4,672
- 6,272
kwahiyo wizzkid ..run town .Casper nyovest ..wamezaliwa wakakuta kwao zipo...wewe Jamaa bwana ...umeshawahi kuskia wana mashauzi yakiboya...
Kipi alichokisema Diamond ambacho kinakufanya umuone si gentleman..?Jamaa yenu ana paswa kuwa gentleman aiseee
Hoja gani ambayo unaitaka wewe MWEHU..!?jibu hoja ...sio unaruka ruka tu kama bisi kwenye kikaango ...jitu zima unaendekeza ushabiki wa kipuuzi "" period
pitia upya post namba 56 kisha ndio utoe tena hoja yako hapa....maana naona wachanganya madesa....unanilisha maneno ambayo sijayaongea daahhh wewe Jamaa bhanaa unaonekana unaakili but huwenda ikawa umeteleza ..mkuu mimi nilikuwa nimejibu reply ya mtu aliyesema chibu ametokea kwenye 0 ndio maana nikawataja hao kina rutown na kina wizzy but sikuwa namaanisha kuwa chibu hana haki yakusema kuwa hakuna wakumshusha ...duuughhhh...Hoja gani ambayo unaitaka wewe MWEHU..!?
Diamond amesema hakuna MTU anaweza kumshusha labda Mungu apende...
Wewe ukaja na hoja kuwa Diamond anamashauzi sana pia sio gentleman kama akina wizkid..!
Nimekuletea maneno ya wizkid yanayofanana na ya Diamond kukuonesha kuwa hata huyo wizkid ameshawafanya hiki unachokiita mashauzi,pia nimekuletea uthibitisho wa hao wakina wizkid wakilalamikiwa kuwa na tabia za kujisikia..!
Hoja ipi ambayo sijakujibu Great Thinker..?
Oooh...pitia upya post namba 56 kisha ndio utoe tena hoja yako hapa....maana naona wachanganya madesa....unanilisha maneno ambayo sijayaongea daahhh wewe Jamaa bhanaa unaonekana unaakili but huwenda ikawa umeteleza ..mkuu mimi nilikuwa nimejibu reply ya mtu aliyesema chibu ametokea kwenye 0 ndio maana nikawataja hao kina rutown na kina wizzy but sikuwa namaanisha kuwa chibu hana haki yakusema kuwa hakuna wakumshusha ...duuughhhh...
hahaa asante kumbe umeileta post hapa ...ni hivi "" Jamaa inafahamika wazi kuwa ni kioo cha Jamii right ana familia na alikuwa ana demu yupo nae in luv na kila mtu alikuwa anajua kuhusu hilo ...vitendo vyake vyakutoka toka na machicks ilhali anayemtu ambaye wamesha kuwa na familia tena mbaya zaidi mpka jamii yote inajua kuwa jamaa ana cheat familia yake ..unaona kuwa nivitendo vya kigental men ""
Mashauzi gani ya kiboya uliyokuwa unayazungumzia hapa..!?
Kipi alichokisema Diamond ambacho kinakufanya umuone si gentleman..?
hahaaaa kumbe upo ng'ambo ndio maana wanisumbua ..maana huko ulipo ni asubuhi. hebu acha nilale ...Oooh...
Uwe na Alfajiri njema Chief (kama upo Tanzania)
Hapa nimekuelewa vyema sana..!hahaa asante kumbe umeileta post hapa ...ni hivi "" Jamaa inafahamika wazi kuwa ni kioo cha Jamii right ana familia na alikuwa ana demu yupo nae in luv na kila mtu alikuwa anajua kuhusu hilo ...vitendo vyake vyakutoka toka na machicks ilhali anayemtu ambaye wamesha kuwa na familia tena mbaya zaidi mpka jamii yote inajua kuwa jamaa ana cheat familia yake ..unaona kuwa nivitendo vya kigental men ""
mbona yapo mambo mengi tu " like mara sijui katoka na tunda ..mara cjui hamisa ..mara cjui " katoweka na sepetu mara cjui "" blaaa blaaaa blaaahh kibao ambazo huwa unazisikiaga kwa media i know wazijua ...mimi content yangu haikuwa ime base kwenye topic ya mtoa mada "" bali ilikuwa inazungumzia vibweka vya maisha yake jamaa vinavyotokea kila nyakati ambavyo sio vitendo vya ki gentalmen"".so "" kama u mwerevu utakuwa umeelewa
hahaa kwahiyo ulikuwa wanichokoza makusudi ..ili uelewe aiseee ""Hapa nimekuelewa vyema sana..!
Kwelimond hawez feli wakufeli ni kina mange na maandamano hewa
There you're...!The kid's arrogance is annoying
Absolutely right.Aaah
No kuna tofauti kati ya kujiamini na majivuno
Tofauti ni ndogo sana hapo kuivuka ni easy
Silent was a better reply.Jamaa anaongea saana. Any way all the best man from tandale
Silence pays a lot.Mchizi kelele nyingii ndio hiko hata mimi concern yangu
For sure...silence silence silence.Diamond asiongee kwa dharau kiasi hicho, ni afadhali akakaa kimya afanye mambo yake. Mafanikio yake yataongea ila kuanza dharau na kejeli kwa wengine sio kitu kizuri.
Duh...just discussion.Ye kaongea hivyo and he meant it. Sasa wewe chukulia unavyotaka.
Unageuka geuka au sikukuelewa.Apunguze kibri si maungwana!!!na haipendezi!
Lengo lake limetimia,ukisikiliza vizuri amaesema yeye ana Content kibao na ana uwezo wa kuzalisha Conten akaongelewa yeye tu muda wote,sasa si umeona mwenyewe tunavyomjadili hapa kwa kauli zake hahahahahahahahahaha Kweli mwana ni kama Maji.Hivi diamond angekuwa amefikia mafankio kama ya Davido inaonekana tusinge kaa nchini hapa
Ashakuambia ye ni kiwanda cha kuzalisha Content,dawa yake akiongea nyie kaeni kimya msimjadili...otherwise bado ataendelea kudumu vichwani mwenuDiamond asiongee kwa dharau kiasi hicho, ni afadhali akakaa kimya afanye mambo yake. Mafanikio yake yataongea ila kuanza dharau na kejeli kwa wengine sio kitu kizuri.
Tofauti ya diam na david ni kwamba, davido kwao ni matajiri na diamond yeye alianza mziki akiwa hana chochote.Hivi diamond angekuwa amefikia mafankio kama ya Davido inaonekana tusinge kaa nchini hapa