Diamond Platnumz: Mimi ni kama maji usipoyanywa basi utayaoga, awaonya wanaoibania WCB

Acheni dogo atambe, kusimama imara kiuchumi bongo hii si shughuli ndogo, na pale unapohisi ama kuona kiumbe cha aina yoyote kinahangaika kukushusha basi huna budi kutumia silaha ya aina yoyote kupambana, dogo ikiwezekana watukane kbs
 
kwahiyo wizzkid ..run town .Casper nyovest ..wamezaliwa wakakuta kwao zipo...wewe Jamaa bwana ...umeshawahi kuskia wana mashauzi yakiboya...Jamaa yenu ana paswa kuwa gentleman aiseee
Unamfwatilia Wizkid kweli Ww? Emb kamfwatilie tenaa tena Mara 10 Mondi
 
Unamfwatilia Wizkid kweli Ww? Emb kamfwatilie tenaa tena Mara 10 Mondi
hii hoja yako nimeshaijibu mkuu "" kuna mtu alikuja na hoja yenye mfanano na hii nanikampa majibu ..so fuatilia Uzi vyema utakutna na hayo majibu """
 
Ana pesa kuliko Diamond
Anapiga show nyingi kuliko Diamond
Ametoa hit songs nyingi kuliko diamond na ana haters wengi kuliko diamond kutokana na umaarufu wake.
Na ndiye alo mtoa diamond kimataifa.
Am gonna make you famous... Hii huwa inanikela sana japo ndo ukweli ha ha ha
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Kwa hiyo hii inakaribia kupasuka eeh?
Sio maneno yangu hivyo sijui, maana hata alieyasema mwenyewe alipovuma sana vuuuuuu vuuuuuuu.... Yalomkuta wote tunayajua
 
Aombe watanzania waendelee kuwa washamba hivyo hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…