Diamond Platnumz: Mimi ni kama maji usipoyanywa basi utayaoga, awaonya wanaoibania WCB

Diamond Platnumz: Mimi ni kama maji usipoyanywa basi utayaoga, awaonya wanaoibania WCB

sinza pazuri

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2014
Posts
3,344
Reaction score
9,066


Hii ni summary ya interview aliyofanya na Dizzim online radio.

Nazindulia A boy from tandale album nchini Kenya sababu mimi ni msanii wa east africa sio wa Tanzania pekee.

Rick Ross alinishangaa baada ya kuniona wakati tunafanya video,alisema ''you're a star'' ..alinipa siku mbili akijitoa tufanye video sababu alinikubali.

Lazima wasanii tuwe na njia mbadala, ndio maana WCB nyimbo azipigwi kwenye vyombo ila zinahit mtaani.

Ramani ya Wasafi tv na radio nilianza kuichora miaka mitano iliyopita.

Naamini watoto wa uswazi wana akili nyingi kuliko wakishua.

Mimi siwezi kufeli, anaefikiri anaweza nifelisha anajidanganya. Nitafeli siku Mungu akiamua.

Mimi ni kama mzee Bakhresa, uwezi kulala bila kunitaja.

Wanaonibania wanapoteza muda.

Angalia wote wanaoblock content za WCB wanapoteza mvuto na mashabiki.
 
Hahahahaha! Bakheresa huyu huyu au kuna mwingine? Mbona kama ulinganisho ume......
 
Hapana tungeishi the issue kuna watu wanawish dai afeli ili washangilie haswaa ma ex zake ndo maana anawajibu shit!!!mi sa hv nampenda mondi
Simchukii kwa sababu hata niki mchukia haimuathiri.
But nani mwenye mafanikio ambaye watu hawataki kumshusha duniani? He is acting kama dunia nzima ina muandama.
Na ana react kama ni mtu wa nuhimu duniani.
This is bad
 
Back
Top Bottom