Diamond Platnumz moving to Kenya? Acquires a huge mansion in Nairobi Author

Bowie

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2016
Posts
4,373
Reaction score
6,084
Diamond Platnumz has bought a beautiful home in Nairobi, Kenya. The singer bought the house recently during his visit to Kenya, where he also made deals with Safaricom Diamond Platnumz’s Kenyan fans are excited with the news, hoping the star will relocate to Kenya soon

Celebrated Bongo Flava crooner Diamond Platnumz has sparked excitement among his Kenyan fans after acquiring a new home in Nairobi.
Known for his singing talent and riches, Diamond recently flew to Kenya and splashed serious money on an apartment that sits in one of Nairobi’s leafy suburbs.

How Diamond schooled Kenyan artistes on perfect album launch - VIDEO - Nairobi News
 
Apartment ndio ahamie uko HaHaha Kijana anajitambua akiona pontential mahali flan huweka kambi, nyumba Ata S.A. anayokubwa tu lakini hufika na kugeuza...Bongo ndio hutulia na kufanya mambo yake home ni home tu...btw anafanya vitu poa sana nyumba ni asset nzuri
 
Saaafi dogo. Lazima uwe na makazi mengine, kama Europe wanavyokuwa na summer house/home.
 
diamond mwenyewe huwa anatamani angezaliwa Kenya sembuse kuhamia huku? cha kwanza uhuru na demokrasia hamna... shida kubwa ya tz kwa wasanii ni kukosa uhuru...nashangazwa na nchi yenye kukandamiza watu kiasi hiki...kama wabunge wanakamatwa na kufungwa sababu tu ya kumtaja rais sembuse watu wa kawaida..duh!!! afadhali umaskini kuliko kukandamizwa...mmekuwa kana kwamba mpo Nazi Germany mnaoongozwa na Adolf Hitler😀😀😀😀..tz ni nchi nzuri sana yenye baraka tele, amani na umoja ila tafadhalini mkatae chama cha CCM haswa Magu, huyo si rais..huyo ni dikteta..tofauti yake na Putin, Xi jinping, Duterte au Kim Jong-un natafta lakini sioni..infact anaweza akawa worse.
.

 
Yes anawachukua ili mumpe support ya kutosha,Kenya ni kenya tu sio kwao Ila panampa ugali lazima aheshimu
 
Hiyo album yake mpya bila mikwara ya Basata angeitolea hapa Tanzania lakini ameenda kuitolea Kenya.
 
Huyu dogo huwa namkubali sana, maana kaanzia chini kipindi akiuza nguo za mitumba.
Awekeze tu maana sasa hivi hamna bilionea yeyote Afrika nzima asiyekua na nyumba Nairobi, ila awe anakuja na kugeuza maana maisha ya Bongo ndio ameyazoea, ndio jamii yake huwa naona anavyotatizika hata kuongea Kingereza.
 
Niga ur real napenda post zako
 
Wacha na mimi nichanje mbuga somalia naona huku meno yanazidi kukaza
 
Mchukueni tu huko Kenya mje mchukue na.........
 
Analeta ama anachukua? Hiyo pesa yote aliyonunulia nyumba kaipatia kwenu.
Kaiacha hapa hapa Kenya kisha anaenda kuchuma nyingine SA, Tz na pia Russia na kuileta Kenya so sioni ubaya ata apatiwe uraiya hapa Kenya aendelee kuukuza uchumi wa Kenya.
 
yap...lakini mkatae CCM 2020 bro
Sahau hilo, nani awe mbadala? Chadema, huwajui wala hujui vizuri siasa Tz. Hii mihemuko unaisoma huku, it's a different story on the ground. Ccm watatawala hii nchi kwa miaka mingi sana ijayo.
 
Ukweli mchungu jamaa kaanza kuona vyuma vinakaza tz hata manji na hela zote alizonazo vyuma vilimkazia katimka nchi
 
Chakushangaza Kenya haijawahi kuifikia Tanzania katika demokrasia hata mwaka mmoja pamoja na yote hayo, huko mkiandamana kidogo tu watu kumi wanauliwa na hamfanyi lolote lile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…