Diamond Platnumz moving to Kenya? Acquires a huge mansion in Nairobi Author

Diamond Platnumz moving to Kenya? Acquires a huge mansion in Nairobi Author

Hahahaha umenikumbusha Mr.Nice msanii aliyebobea zama zile kabla hajasota. Kwa sasa yuko pale Mathare kwa vilabu hivi hivi show zake analipwa elfu Tano Kenyan money per show, na so lazima alipwe wateja wakikosa kuhudhuria. Mr Nice amekuwa moja wa Omba omba toka Tz, Tunawaomba muje mchukue mtoto wenu.
Watanzania wakiishiwa ndiyo wanakuja kuanzisha makazi huko kwenu, ninasikia Rose Mhando naye yupo mbioni kuja huko, ila wakiwa juu, huja kukusanya pesa na kurudi kuwekeza na kula bata Bongo, jiji la maraha.
 
Diamond bought a house in South Africa and South Africans didn’t say a thing about him moving to SA, Huku matakoni mwa dunia is a big thing. [emoji23]
 
Watanzania wakiishiwa ndiyo wanakuja kuanzisha makazi huko kwenu, ninasikia Rose Mhando naye yupo mbioni kuja huko, ila wakiwa juu, huja kukusanya pesa na kurudi kuwekeza na kula bata Bongo, jiji la maraha.
kuna yule chapombe mr nice.alipoona hawezi kushindana kimziki tz akakimbilia kenya. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
diamond mwenyewe huwa anatamani angezaliwa Kenya sembuse kuhamia huku? cha kwanza uhuru na demokrasia hamna... shida kubwa ya tz kwa wasanii ni kukosa uhuru...nashangazwa na nchi yenye kukandamiza watu kiasi hiki...kama wabunge wanakamatwa na kufungwa sababu tu ya kumtaja rais sembuse watu wa kawaida..duh!!! afadhali umaskini kuliko kukandamizwa...mmekuwa kana kwamba mpo Nazi Germany mnaoongozwa na Adolf Hitler😀😀😀😀..tz ni nchi nzuri sana yenye baraka tele, amani na umoja ila tafadhalini mkatae chama cha CCM haswa Magu, huyo si rais..huyo ni dikteta..tofauti yake na Putin, Xi jinping, Duterte au Kim Jong-un natafta lakini sioni..infact anaweza akawa worse.
.View attachment 717544
View attachment 717544
Tumkatae MAGUUUU?????? are you crazy[emoji23][emoji23] Bora nisile mwaka mzima ila magu awe Raisi wangu.. Diamond amenunua nyumba South juzi tu, nafkiri mpango wake ni kuwa na nyumba Almost kwenye nchi kubwa zote Africa, juzi juzi alikua Kigali Rwanda kutambulisha Bidhaa zake nafkiri atakua na mpango Wa kununua nyumba pia huko..
 
Tuko na kina nyashinski,sauti Sol,khali, Timmy ,nameless etc and we fully support them...diamond amependa Kenya sana we support him too ...kwa hiyo album yake kuna ngoma ya reggae ameaifia Kenya tu
Diamond ana nyumba huku hata Ikulu ya Kenya ndogo, Mwenyewe anaiita State House, na Amewekeza huku vibaya sana, hawezi hama sema anatafuta Soko kubwa la Bidhaa zake
 
A house is an appreciating in value asset..Good for the young man..Some Kenyans I know have houses in Tz while some Tanzanians own homes in Kenya...There is a Tz guy I know who owns homes near USIU and rents to students...plus a holiday flat...One can never go wrong with land or a house...
 
Back
Top Bottom