joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
The fact is Tanzania controls music industry in this region and beyondHaha umewai skia rick Ross aki launch album south Africa???.
Watanzania wakiishiwa ndiyo wanakuja kuanzisha makazi huko kwenu, ninasikia Rose Mhando naye yupo mbioni kuja huko, ila wakiwa juu, huja kukusanya pesa na kurudi kuwekeza na kula bata Bongo, jiji la maraha.Hahahaha umenikumbusha Mr.Nice msanii aliyebobea zama zile kabla hajasota. Kwa sasa yuko pale Mathare kwa vilabu hivi hivi show zake analipwa elfu Tano Kenyan money per show, na so lazima alipwe wateja wakikosa kuhudhuria. Mr Nice amekuwa moja wa Omba omba toka Tz, Tunawaomba muje mchukue mtoto wenu.
kuna yule chapombe mr nice.alipoona hawezi kushindana kimziki tz akakimbilia kenya. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Watanzania wakiishiwa ndiyo wanakuja kuanzisha makazi huko kwenu, ninasikia Rose Mhando naye yupo mbioni kuja huko, ila wakiwa juu, huja kukusanya pesa na kurudi kuwekeza na kula bata Bongo, jiji la maraha.
Tumkatae MAGUUUU?????? are you crazy[emoji23][emoji23] Bora nisile mwaka mzima ila magu awe Raisi wangu.. Diamond amenunua nyumba South juzi tu, nafkiri mpango wake ni kuwa na nyumba Almost kwenye nchi kubwa zote Africa, juzi juzi alikua Kigali Rwanda kutambulisha Bidhaa zake nafkiri atakua na mpango Wa kununua nyumba pia huko..diamond mwenyewe huwa anatamani angezaliwa Kenya sembuse kuhamia huku? cha kwanza uhuru na demokrasia hamna... shida kubwa ya tz kwa wasanii ni kukosa uhuru...nashangazwa na nchi yenye kukandamiza watu kiasi hiki...kama wabunge wanakamatwa na kufungwa sababu tu ya kumtaja rais sembuse watu wa kawaida..duh!!! afadhali umaskini kuliko kukandamizwa...mmekuwa kana kwamba mpo Nazi Germany mnaoongozwa na Adolf Hitler๐๐๐๐..tz ni nchi nzuri sana yenye baraka tele, amani na umoja ila tafadhalini mkatae chama cha CCM haswa Magu, huyo si rais..huyo ni dikteta..tofauti yake na Putin, Xi jinping, Duterte au Kim Jong-un natafta lakini sioni..infact anaweza akawa worse.
.View attachment 717544
View attachment 717544
Diamond ana nyumba huku hata Ikulu ya Kenya ndogo, Mwenyewe anaiita State House, na Amewekeza huku vibaya sana, hawezi hama sema anatafuta Soko kubwa la Bidhaa zakeTuko na kina nyashinski,sauti Sol,khali, Timmy ,nameless etc and we fully support them...diamond amependa Kenya sana we support him too ...kwa hiyo album yake kuna ngoma ya reggae ameaifia Kenya tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mchukueni magufulia pia si mlikuwa mnamtaka??