Diamond Platnumz na Ali Kiba wakutana mubashara kwenye msiba wa Masogange na kupeana mikono

Kulikuwa kuna shida gani ya kusimama na kusalimiana na Diamond?
Diamond ametoka alipokuwa ili kwenda kumsalimia lakini katika hali isiyo ya kawaida, Ali Kiba akaonyesha umwinyi wa hali ya juu kwa kupokea mkono wa Diamond huku akiwa ameketi.
 
Kwani Hujui Yeye Ni Kaka Kwa Diamond?Wewe Ukiwasalimia Wakubwa Zako Huwaga Wananyanyuka?
Kunyanyuka Ni Ishara Ya Heshima Kwa Wakubwa Au Washkaji Zako
Acha Majungu Kijana Mwenzangu
 
Kwani Hujui Yeye Ni Kaka Kwa Diamond?Wewe Ukiwasalimia Wakubwa Zako Huwaga Wananyanyuka?
Kunyanyuka Ni Ishara Ya Heshima Kwa Wakubwa Au Washkaji Zako
Acha Majungu Kijana Mwenzangu
leta pia majibu ya mkono wa ali k mbona kama kautoa kama mtu anaye hisi kinyaa?
 
Umwinyi ni dalili za tezi dume
 
Ninachoamini mimi, Mondi na Kiba sio maadui. Wanafanya namna flani ya mchezo unaofanya wapenzi wa mziki wavutiwe na mziki wanaoufanya hawa watu.
Hiyo vita inatengenezwa na kukuzwa na sisi mashabiki!

Kabisa hawa jamaa sio maadui kabisa, wakikutana nyuma ya makamera huko washikaji wakubwa na mastory wanapiga kama kawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…