Diamond Platnumz na Ali Kiba wakutana mubashara kwenye msiba wa Masogange na kupeana mikono

Diamond Platnumz na Ali Kiba wakutana mubashara kwenye msiba wa Masogange na kupeana mikono

Hahaha the King..
Watu mnapenda Kuelezea vitu kwa fahamu zenu zinavyowatuma.
Pengine hakumaanisha chochote kibaya.
 
Yap, mkuu hawa ni icons za taifa letu, kuwapa support ni kitu cha maana sana.
Hao ni Icon ya mziki wa Kimarekani na siyo wa Kitanzania ukiwasema hao akina Tx Moshi, Mbalaka, Bitchuka, Ngurumo n.k. utawaitaje?
 
Kulikuwa kuna shida gani ya kusimama na kusalimiana na Diamond?
Diamond ametoka alipokuwa ili kwenda kumsalimia lakini katika hali isiyo ya kawaida, Ali Kiba akaonyesha umwinyi wa hali ya juu kwa kupokea mkono wa Diamond huku akiwa ameketi.

Chezea Mombasa wewe.
 
Back
Top Bottom