Diamond Platnumz na Ali Kiba wakutana mubashara kwenye msiba wa Masogange na kupeana mikono

Diamond Platnumz na Ali Kiba wakutana mubashara kwenye msiba wa Masogange na kupeana mikono

Kulikuwa kuna shida gani ya kusimama na kusalimiana na Diamond?
Diamond ametoka alipokuwa ili kwenda kumsalimia lakini katika hali isiyo ya kawaida, Ali Kiba akaonyesha umwinyi wa hali ya juu kwa kupokea mkono wa Diamond huku akiwa ameketi.
View attachment 753306
Kwa mbaali namuona Le King of all social media, Le kokobangaz, Nyenyenye, tusubiri Le tamkoz u know'
 
Ninachoamini mimi, Mondi na Kiba sio maadui. Wanafanya namna flani ya mchezo unaofanya wapenzi wa mziki wavutiwe na mziki wanaoufanya hawa watu.
Hiyo vita inatengenezwa na kukuzwa na sisi mashabiki!
Nikweli kabisa ulichokiongea mr.,hawa washikaji sio maadui kabisa ila maadui ni sisi mashabiki ila tutauana lkn yakwao yatasonga kama kawaida!
 
leta pia majibu ya mkono wa ali k mbona kama kautoa kama mtu anaye hisi kinyaa?
N
Ninachoamini mimi, Mondi na Kiba sio maadui. Wanafanya namna flani ya mchezo unaofanya wapenzi wa mziki wavutiwe na mziki wanaoufanya hawa watu.
Hiyo vita inatengenezwa na kukuzwa na sisi mashabiki!
Hapo ukiangalia hiyo picha kwa makini naweza kusema kwa hicho alichokifanya Ali Kiba sio sahihi, yaani utoaji wa huo mkono kwa walioshuhudia hilo tukio wanaweza kusema Ali Kiba alikuwa hataki kutoa mkono/kushikwa mkono na Domo...

BINAFSI NI SHABIKI WA ALI KIBA ILA ANAPOFANYA TUKIO LISILOSTAHILI NAKUA MKWELI
 
Kwa kwetu Mtwara mtu akikushika kwa mikono yote miwili tafsiri yake ni heshima kubwa sana,kutotoa kiganja kunakuja kutoka na dharura labda umelowa,mchafu,etc so badala yake anakuonyesha heshima kwa kukushika na mkono wa pili......Ila nimeamini Diamond alivyosema yeye ana content kubwa sana,kabadili upepo wa msiba sasa hivi mjadala umekuwa hilo tukio tih tih tih tih..
Na mim nilielewa kama wew nahisi ingekua dharau asingemshika kwa mikono miwili hapo yote imekunjwa
 
Utakuta hakumaanisha chochote sababu katoka haruc utakuta mikono yake inaharufu ya ubani wa kufungishia ndoa akaoa akimshika atamuacha na harufu ndo maana kaamua kama kuugeuza flan....
 
Sion tatizo.kiumri mkubwa kaka mdogo kasimama kuonyesha heshima.

Ally kiba kampa mkono kiupande sababu labda ni mchafu lakini kauleta mwingine juu yake so ni ishara kama ni heshima fulani.

Ni wachache watakaoelewa hio

Wengi wanaendekeza mihemko
kuweka mikiono miwili ni ishara ya heshima ....huwa nafanya sana kuashiria ukarimu na upendo
 
Mtu akikupa mikono miwili maana yake kakuheshimu tena sana.. kama ilivyo mtu akisimama na kukupa mkono...
 
Back
Top Bottom