Diamond Platnumz na Ali Kiba wakutana mubashara kwenye msiba wa Masogange na kupeana mikono

Diamond Platnumz na Ali Kiba wakutana mubashara kwenye msiba wa Masogange na kupeana mikono

ndio yeye,kulia kwake kakaa jk comedian,kushoto mak juice,nyuma iceboy.
B12 hapo anatamani kesho jumatatu kwny xxl aongelee sema ndo ivyo Ruge hataki habari za Domo yaan cheki face ya Twangala hapo anaficha tabasamu
 
Diamond anakula nguruwe ndio maana Shehe Kiba hakuwa comfortable kupeana nae mikono. Si unajua mashehe wa Mombasa na kitimoto ni vitu tofauti. Sio kama mashehe wa huku kwetu Dar, nguruwe ya kuchemsha haramu lakini ya kukaanga wanakula.
 
Inaonekana hatupendi hawa watu wapatane, tuwaache basi wapumue ili wapate kuelewana kabisa.
 
Alikiba kaonyesha dharau kubwa..

Ilibidi asimame ampe heshima yake Simbaa..
 
N

Hapo ukiangalia hiyo picha kwa makini naweza kusema kwa hicho alichokifanya Ali Kiba sio sahihi, yaani utoaji wa huo mkono kwa walioshuhudia hilo tukio wanaweza kusema Ali Kiba alikuwa hataki kutoa mkono/kushikwa mkono na Domo...

BINAFSI NI SHABIKI WA ALI KIBA ILA ANAPOFANYA TUKIO LISILOSTAHILI NAKUA MKWELI
Unajua watu wameona picha na sio video naamini video ikipatikana watu kama ninyi mtaumbuka sana tena sana, ila sababu ni picha ndio maneno yote yawatoka kama vile mlikuwepo eneo la tukio

Utasemaje alikua hataki kutoa mkono wakati amemshika mikono yote miwili? unajua alikua ameshika nini mkononi? unajua maana ya mtu kupokea salamu yako kwa mikono miwili?

Hebu kajenge taifa kila kitu kulalamika tu,
Wabongo bhaaana.
 
Screenshot_2018-04-22-20-42-16.png

Nikikwambia mimi ni huyo aliyevaa shati jeupe sijui utaamini!!!! Hebu nionyeshe... Hapo mkononi kashika nini huenda macho yangu hayaoni au simu yangu mbovu

Pia ukumbuke ana mikono miwili kama kashika Funguo kwa nini asingeishika kwa mkono wa kushoto kisha akasalimiana na mwenzie? Au wewe ndo Team Kiba mwenye akili mgando ambaye hutaki kuona jamaa akisemwa vibaya pale anapokosea? Jiangalie Binti
 
View attachment 753702
Nikikwambia mimi ni huyo aliyevaa shati jeupe sijui utaamini!!!! Hebu nionyeshe... Hapo mkononi kashika nini huenda macho yangu hayaoni au simu yangu mbovu
Unajifanya una akili lakin huna kitu, nimekuuliza maswali machache hujajibu unaniambia mambo ya mkononi kashika nini, nyie ndio mnashikishwa mauchafu kwa kung'ang'ania mshikane mikono na mtu, mtu mwenyewe ndio anajua mkono wake kashika nini na swali kwanini amemshika pia kwa mkono huo mwingine? unajua maana yake? umejua kama alimtaka radhi kabla hajampa huo mkono ulisikia??

Eti kama mimi ni huyo wa shati jeupe, lol
Pathetic.
 
Sijawahi kufikiria kwamba unaweza Panic kiasi hicho, ok samahani kama nimekukwaza
 
Sijawahi kufikiria kwamba unaweza Panic kiasi hicho, ok samahani kama nimekukwaza
Ndio maana kazi ya ualimu siiwezi maana kuelekeza mwanafuzi mbishi au mgumu kuelewa lazima upanic.

Lol.
 
Ndio maana kazi ya ualimu siiwezi maana kuelekeza mwanafuzi mbishi au mgumu kuelewa lazima upanic.

Lol.
Ok, binafsi huwa sipendi kugombana na mtu, maana kuna maisha nje ya Jf,

Pia sijui itakuwaje siku mtu unazinguana nae kisha mwisho wa siku unajikuta una mahusiano nae kwa namna moja ama nyingine
 
Mi binafsi mkononi nikiwa na maji maji lazima nigeuze mkono na hua naona ni kawaida tu
 
best post: 26805212 said:
kiba100 katoa salamu kwa heshima kubwa sana na mikoni miwili ...
Sure.......basi walimwengu wapana ka meza za kamali.ruge hii Itakua imemuumapo
 
Waswahili kwa ujuaji, kuna kipi cha ajabu hapo?

Mbona mnapenda kucompliketisha vitu kiasi hiki? Hakika wobongo muwajinga sana
 
Back
Top Bottom