Kipanga boy
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 1,409
- 1,219
Unadhani maumivu ya kupitwa kimaendeleo ni mepesi eee???Yooh mbona Kiba mkono anatoa kishingo upande
Unadhani maumivu ya kupitwa kimaendeleo ni mepesi eee???Yooh mbona Kiba mkono anatoa kishingo upande
Eheeeh! Mapenzi mubashara yameonekana leo [emoji23][emoji23]Sababu hataki bifu liishe atakosa kiki mujini
Wadau hawajui nyuma ya pazia kuna nini ila Mond ni mjanja sana kuonyesha kwenye jamii kua hana noma...Ungejua visa Dai anavyomfanyia ingekuwa ww hata usingetoa mkono.
Wewe siulikua harusini live kabisa?Uswahili
Hahah!!Utakuwa umechanganya comment ndugu.
Haya alasiri njema
diamond karangaUnadhani maumivu ya kupitwa kimaendeleo ni mepesi eee???
Wasafi rekod
wasafi tv
wasafi radio
wewe hata gitaa bado lazima ikuume
Kweli kiungwana ilitakiwa naye asimame hasa ukizingatia meza nzima wamesimama. Kama sio dharau basi tuseme ni kutojua itifaki kwenye matukio makubwa yanayohusisha watu wakubwa na maarufu. Katika hali ya kawaida hapo hata angekuwa rais angesimama labda asema alikuwa anaumwa miguuKulikuwa kuna shida gani ya kusimama na kusalimiana na Diamond?
Diamond ametoka alipokuwa ili kwenda kumsalimia lakini katika hali isiyo ya kawaida, Ali Kiba akaonyesha umwinyi wa hali ya juu kwa kupokea mkono wa Diamond huku akiwa ameketi.
View attachment 753306
Kiba mshirikina sana, hapo anahisi ataibiwa nyota akitoa mkonoHiyo mikono ukiitazama kiundani kuna ushirikina wa hali ya juu unafanyika hapo. Kiba pamoja na kuvaa kanzu unaendekeza shirk