Diamond Platnumz na Davido katika picha mpya MTV Award 2015

Good morning wadau..

Hivi mnafahamu kwamba katika mastaa wa Africa, diamond ni namba 3 kuwa na subscribers wengi youtube? Walio mbele yake ni psquare na davido

Sisi ndio wakumfanya awe nambari moja, hivyo basi nenda youtube sasa afu subscribe kwenye youtube channel yake link hii hapa inakupeleka moja kwa moja
⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇
https://m.youtube.com/user/TheDiamo...AhUTjRgKHe3FBF4=&hl=en&gl=TZ&client=mv-google
⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆

Lets goooo..!!!
 
Kwa tunaofuatilia vyema, ninakumbuka ilikuwa interview ya magic fm, anapotambulisha nasema nawe diamind alisisitiza hakuna beef kati yao na kuna project itakuja davido ft. diamond after hii album yake ya sasa...
 
Best male artst ni wizkid hii ojuelegba itampa point nyingi sana
 
Nadhani yule anayeutaka ubunge wa kupewa si wa kupambana kama Halima Mdee hii inamuhusu
 
kwahiyo waliomtukana davido (team diamond muombe msamaha) wazee wa matuc

cjajua ndo mana nimesema waliomtusi wakaombe msamaha we unadhani ni mashabiki gani,,,?

Team kiba ndio waliosemaga kwamba dai anamdharau davido..kwamba dai alisaidiwa na davido..so bila davido dai asingefanikiwa kimataifa..from there ndio tukakataa hiyo kauli...so matus dhid ya davido origin yake ni team kiba..
 
Team kiba ndio waliosemaga kwamba dai anamdharau davido..kwamba dai alisaidiwa na davido..so bila davido dai asingefanikiwa kimataifa..from there ndio tukakataa hiyo kauli...so matus dhid ya davido origin yake ni team kiba..

hapana davido kaanza kutukanwa toka BBA alivyoshinda idrissa na dai ndo akachangia zaidi mitusi cc tumtukane davido (katufanyaje team kiba ) ila kawaumbua nendeni mkaombe msamaha
 
Gatcha!!but it seems kwamba humfahamu totally coz nilitegemea utajiongeza unambie ni nani?!help:tafuta reply ya kidingi so that u can be aware of that chick..?!
 
stop cheating,she's not,watchout kwenye reply ya kedrick. ili kumfahamu..aksanthee..?!
 
Na hii je? Mtasema bado ni underground.
 

Attachments

  • 1437150862055.jpg
    78.8 KB · Views: 257
Sawa ila kacheza bonge la mechi nje ya uwanja walio wengi watampigia tu kupitia ule wimbo
 
Hapo neyo alimtafuta Diamond amsalimie
 
Habari njema wadau...

Upigaji kura tuzo za Nigerian Entertainment Awards umefunguliwa rasmi hii leo..

Diamond anawania kipingele cha best African artist (ambacho ni mahususi kwa wasanii nje ya nigeria) .. Hivo basi tupige kura huku ni rahisi kinoma, unapiga kura mara moja tu!! kipengele chake ni cha kwanza, una click kwenye tick na ikiwa ya kijani inamaana kura imepokelewa (hakikisha kutumia browser)

link hii
⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇

http://neaawards.com/index.php/voting-page/

⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…