Chinedu5
JF-Expert Member
- Apr 20, 2015
- 763
- 2,755
- Thread starter
-
- #81
Diamond ni mfano tu,nchi yetu hainaga utaratibu huo wa kuheshimu michango ya watu wake walioletea taifa sifa..Kama sio lazima sanamu basi hata hizi sifa anazopewa kupitia utim mond zinamtosha
Halafu heshima haiombwi huja yenyewe, ye kama kashindwa kujiheshimu kwa kutovaa eleni na vikuku unategemea nani amuheshimu?? kukiwa na wawili watatu wanaomheshimu inatosha sio lazima wote mbona mimi dingi yangu namuheshimu kwa heshima zaidi ya phd lakini silazimishi ajengewe sanamu???
nafikiri ni muda sasa wa kuanza ku appreciate watu walivyofanya kabla hawajafa,na waliokufa pia...mfano mzee Tambaza hakuwa anavaa hereni lakin kwenye historia ya nchi hayumo wakati ni mtu mwenye mchango mkubwa kwa nchi,na wapo wengine wengi mno!!