Diamond Platnumz na Mbwana Samatta wanastahili kutunukiwa PhD ya heshima

Diamond Platnumz na Mbwana Samatta wanastahili kutunukiwa PhD ya heshima

Kama sio lazima sanamu basi hata hizi sifa anazopewa kupitia utim mond zinamtosha

Halafu heshima haiombwi huja yenyewe, ye kama kashindwa kujiheshimu kwa kutovaa eleni na vikuku unategemea nani amuheshimu?? kukiwa na wawili watatu wanaomheshimu inatosha sio lazima wote mbona mimi dingi yangu namuheshimu kwa heshima zaidi ya phd lakini silazimishi ajengewe sanamu???
Diamond ni mfano tu,nchi yetu hainaga utaratibu huo wa kuheshimu michango ya watu wake walioletea taifa sifa..

nafikiri ni muda sasa wa kuanza ku appreciate watu walivyofanya kabla hawajafa,na waliokufa pia...mfano mzee Tambaza hakuwa anavaa hereni lakin kwenye historia ya nchi hayumo wakati ni mtu mwenye mchango mkubwa kwa nchi,na wapo wengine wengi mno!!
 
Watu wamefanya mziki kitambo bila hayo madude na wanafanya poa tu kina Ay, Fa, Jay na wengie kibao still wanaheshimika afu yeye anataka watu wamheshimu asiyejiheshim. Non sense

Wapiga promo wa hili wengi wao wanyoa viduku na wavaa eleni

Michael jackson anasanamu aliyoijenga mwenyewe na hukuwahi sikia mashabiki wakilialia mitandani kuiomba serikali ijenge sanamu yake

Ni upuuzi tu unaoanzishwa na wapumbavu wachache wanataka tuonekane wote tuna akili sawa
 
ukiacha hivyo,ameleta mapinduzi sana kwenye tasnia ya music,kwa tuliobahatika kutoka nje ya Tanzania basi watakubaliana nami ukitaja Tanzania wanaojulikana bila kuuliza mara mbil mbil ni Nyerere na Diamond tu!!
Hapa sasa ndo umeongea point ulitakiwa umzungumzie diamond katika upande wa mziki na huo mziki umezaa vitu vingine ila sio in general au kwa hoja uliotoa hapo juu. Upande wa muziki diamond ameitangaza Tanzania Sana kwanza aliperform kwenye ufunguzi wa fainal za afconi, amepata tuzo za muziki more less than 100 ,ametengeneza label kubwa inayofanya vizuri Africa WCB, Ameajili watu more less than 100 kupitia mziki,Ameperform kwenye majukwaa makubwa ya mziki Africa,kupitia mziki amesaidia jamii mfano ametoa madawati 400 ya shule, amesomesha wanafunzi baadhi kiufupi amefanya mambo mengi Sana makubwa kwenye mziki uwezi kuyaandika yote.
 
Diamond ni mfano tu,nchi yetu hainaga utaratibu huo wa kuheshimu michango ya watu wake walioletea taifa sifa..

nafikiri ni muda sasa wa kuanza ku appreciate watu walivyofanya kabla hawajafa,na waliokufa pia...mfano mzee Tambaza hakuwa anavaa hereni lakin kwenye historia ya nchi hayumo wakati ni mtu mwenye mchango mkubwa kwa nchi,na wapo wengine wengi mno!!

Sanamu sio heshima asikudanganye mtu kua sanam eti ni heshima zile mbwembwe tu sanamu hadi za mbwa zipo

Unaweka sanamu ya anayenadiwa kua ni mwanamziki kwa kuitangaza tanzania kimataifa halafu hakuna nyimbo yake iliyowahi kuweoo kwenye chat ya billboard

Tanzania haimtegemei mtu wa kuitangaza ili ijulikane kimataifa, wajerumani na waarabu kipindi cha ukoloni kabla hata ya huyo diamond kuzaliwa walikuja tanzania bila kutangaziwa na mtu
 
Wapiga promo wa hili wengi wao wanyoa viduku na wavaa eleni

Michael jackson anasanamu aliyoijenga mwenyewe na hukuwahi sikia mashabiki wakilialia mitandani kuiomba serikali ijenge sanamu yake

Ni upuuzi tu unaoanzishwa na wapumbavu wachache wanataka tuonekane wote tuna akili sawa
Kwani ukivaa heleni ni kosa au kupiga kiduku especially kwa wanamziki hata Kama unachuki binafsi na mondi aizuii jamaa kupata heshima kwenye mziki amefanya makubwa Sana mfano Leo hii label yake ya WCB imekuwa kubwa Sana Africa, Ameperform kwenye majukwaa makubwa Sana ambayo hakuna msanii yoyote amewahi kufanya,Amepata tuzo kubwa barani Africa kupitia kazi zake si chini ya 100, Ameperform kwenye uzinduzi wa michuano ya Afcon lakini amefanya show kubwa sometime viwanjani kwenye nchi za Africa na ulaya ambapo wasanii wetu walikuwa awafanyi na wengine walikuwa hawapati watu wengi kwanini asipewe heshima ili iwacourage wasanii chipilukizi wenye ndoto za kufika kwenye level Kama diamond au zaidi.
 
Kwani ukivaa heleni ni kosa au kupiga kiduku especially kwa wanamziki
ni kosa kimaadili mwanaume kuvaa eleni, ulitaka mpaka liandikwe kwenye katiba ndio ukubali kua kosa?? Haya wewe unavaa eleni kwasababu kuvaa eleni sio kosa??

hata Kama unachuki binafsi na mondi
unashindwa kutofautisha kati ya mwenye chuki na muongea kweli kwasababu wote hao hawako upande wako uliosimamia, hutaki kuona unayemkubali akikosolewa vile vile hutaki kuona unayemkubali anachukiwa.

Hilo ni tatizo pia hujui kutofautisha kati ya maneno ya chuki na maneno ya ukweli

aizuii jamaa kupata heshima kwenye mziki amefanya makubwa Sana mfano Leo hii label yake ya WCB imekuwa kubwa Sana Africa
ameifanya iwe kubwa au nyinyi mateam mond ndio mmeifanya iwe kubwa kwa kuipigia promo mitandaoni??

Basi kama na WCB ni lebo kubwa na iko tanzania basi nayenyewe tuichongee sanamu kuwakilisha nchi kwasababu nayo imechangia kuitangaza tanzania

Ameperform kwenye majukwaa makubwa Sana ambayo hakuna msanii yoyote amewahi kufanya
hapa umekusudia wasanii gani ambayo hawajawahi kufanya kwenye hayo matamasha??

Amepata tuzo kubwa barani Africa kupitia kazi zake si chini ya 100,

kipimo cha mziki mzuri sio tuzo

Ameperform kwenye uzinduzi wa michuano ya Afcon
unasema afcon, mwenzake shakira aliperfom kwenye uzinduzi wa kombe la dunia africa kusini na hukuti mashabiki wake wakipiga promo atengenezewe sanamu

Lakini amefanya show kubwa sometime viwanjani kwenye nchi za Africa na ulaya ambapo wasanii wetu walikuwa awafanyi na wengine walikuwa hawapati watu wengi kwanini asipewe heshima ili iwacourage wasanii chipilukizi wenye ndoto za kufika kwenye level Kama diamond au zaidi.
wasanii wengine wa miaka hiyo pengine walishindwa kufanya show huko mambele kwasababu wao walikua wako jikoni kuupika mziki ambao baada ya kuiva watu wengine wakautamani na kulia public ambako kila mmoja anawaona.

Unafikiri kipindi kile cha kina jay kwa mziki anaoimba diamond angeweza kutoboa endapo angekuwepo kipindi kile??
 
Hizo ndio mada za watoto,wanataka tujadili hizo mambo?.
Nyumbani wanakuita chakula tayari,haya nenda kale haraka.

Unakula na kulala bure bila shaka ,tuna wajua kwa hoja zetu tu.
 
Wewe kweli ni kilaza, kwani ni mara ya kwanza huyo Wizkid kuja Bongo? Watu wamewaleta akina Jay Z, 50 Cent na wengine kibao na hawajapewa hiyo PhD.
Aliketwa na wauza Madawa ya kulevya. Nani asiyejua hilo hasa vijana wazamani YMCA. KEY'S MBOWE nk..
 
nilianza kujenga hoja hio kwa sababu watakuja watu na team zao
Hapa sasa ndo umeongea point ulitakiwa umzungumzie diamond katika upande wa mziki na huo mziki umezaa vitu vingine ila sio in general au kwa hoja uliotoa hapo juu. Upande wa muziki diamond ameitangaza Tanzania Sana kwanza aliperform kwenye ufunguzi wa fainal za afconi, amepata tuzo za muziki more less than 100 ,ametengeneza label kubwa inayofanya vizuri Africa WCB, Ameajili watu more less than 100 kupitia mziki,Ameperform kwenye majukwaa makubwa ya mziki Africa,kupitia mziki amesaidia jamii mfano ametoa madawati 400 ya shule, amesomesha wanafunzi baadhi kiufupi amefanya mambo mengi Sana makubwa kwenye mziki uwezi kuyaandika yote.
 
kweli hujielewi..kwani kuna shida kuvaa hereni??wamasai wangapi wanavaa hereni??baadhi ya makabila mengi tu zaman walikuwa wanavaa hereni regardless ya gender,si ajabu ata babu yake babu yako alivaa hereni Scars,
 
wewe mkubwa sikutegemea kuona comment yako kwenye huu uzi,kwa sababu mtoto kufanya utoto si tatizo,ila nashangaa wew mkubwa unaekaa kwa watoto au ndo Kubwa jinga?[emoji23][emoji23]
Hizo ndio mada za watoto,wanataka tujadili hizo mambo?.
Nyumbani wanakuita chakula tayari,haya nenda kale haraka.

Unakula na kulala bure bila shaka ,tuna wajua kwa hoja zetu tu.
 
Kama Samatta na Diamond wana stahili kujengewa sanamu hivi Ronaldo na Messi wata jengewa nin kwenye nchi zao!?
 
sio kila kitu lazima u comment...yaani aibu nimeona mimi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa ilimu gan waliyonayo ? Basi hata babu wa loliondo atunukiwe
 
Kuna kilaza mmoja aliropoka kwa sauti akiuliza Hemed PhD aliipata lini PhD yake,hakuna aliyemjibu watu walianza kuondoka mmoja mmoja wakitawanyika wakimuacha peke yake na uzwazwa wake
 
Legend umetisha! Hii comment kumbe umeiona! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
Lazima niioone[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Niende kwenye mada moja kwa moja.

Kwa msanii kama Wizkid na Tiwa Savage kuja Tanzania, kualikwa na mtoto wa Tandale, mtoto alielelewa na single mother kwa maisha ya kubangaiza, mtoto ambaye hata Form 4 hajamaliza kama kamaliza basi kafeli) ni bonge la achievement.

KiukwelI Diamond kaleta mabadiliko makubwa mno na anastahili sanamu lake liwekwe pale mjini posta,na kumbukumbu zake ziwekwe makumbusho ya taifa, apewe hata PhD ya heshima akiwa hai tusisubiri afe ndo tuanze unafiki! Leo hii Diamond ameajiri watu zaidi ya 200, wenye elimu kumzidi na wasio na elimu. Watanzania tuweke unafiki na ushabiki pembeni, tuanze ku- appreciate vya kwetu.

Pia kuna mtu kama Samatta (SamaGoal), naye anastahili heshima ya PhD na sanamu lake liwekwe pale nje Uwanja wa Taifa.

Wapo wengi sana walioleta mabadiliko kwa nchi yetu tuwaenzi hawa ma living legends wetu tusisubiri wafe ndio tuanze UNAFIKI!!
 
Back
Top Bottom