Diamond Platnumz na Mbwana Samatta wanastahili kutunukiwa PhD ya heshima

Diamond Platnumz na Mbwana Samatta wanastahili kutunukiwa PhD ya heshima

sijui kuhusu Mark Zuckerberg na Gates,ila angalia background ya Bakhresa na Diamond ni sawa??alafu kama unajua kusoma vizuri sijamaanisha wote waliotoa ajira wapewe PHD,hapa Tanzania kuna watu wametoa ajira kwa watu hata 1000+,kwa hiyo kwa kigezo hicho PHD zitajaa!!Ebu ukisoma fikiria kidogo,jenga logic ndo u comment
Kumbe? Hivi Bill Gates ni Dr? Facebook founder ameajiri watu wa ngapi?ana PhD Bakhresa Je? Kama hoja ni Utanzania.
 
Hiyo ndo concept yangu,despite ya maisha na background zao ila wametusua haijalishi kama kuna tusiyoyajua nyuma ya pazia,ila tunavoona washkaji wamefight!!
Slimsalim, Yes mkuu umenena vyema wanastahili heshima kinachonifurahisha zaid ni kuwa wote hao wametoka familia za kiuswaz lakin wameweza kutusua.
 
Slimsalim,

Chuo gani kitatoa? Chuo kikuu cha Tandale?

Acheni mahaba

Mkwawa, mirambo, rumanyika, mputa,kimweri na kinjeketile ngwale wanahitaji phd zaidi....wengi tu

Diamond hajafikisha heshims za akina marijani rajabu

Umekurupuka, umepagawa
 
Pia si vibaya ikiwa ivyo,ila cha muhimu ni Recognition tu,liwe jengo sehemu lenye collection ya wote hao,hii itasaidia kuacha legacy na ku motive vizazi vijavyo!! CONTROLA,
 
Hata wewe unaweza kuwa kilaza hatuzungumzii wasanii wangapi waliowah kuja hapa Tanzania tunachozungumzia hapa ni msanii aliye na ushawishi na kukubalika na wasanii wakubwa.

Kumbe ni kakikundi kamekaa mahali
 
kwani wakipewa hao kina mirambo wakina marijan rajabu hazitawatosha hizo PHDs? wote??simaanishi apewe Diamond peke ake,wapewe ote walioleta mabadiliko chanya kwa Taifa!!

Diamond afanye kitu gani kingine ambacho kingestahili apate Recognisation??
Chuo gani kitatoa? Chuo kikuu cha Tandale?

Acheni mahaba

Mkwawa, mirambo, rumanyika, mputa,kimweri na kinjeketile ngwale wanahitaji phd zaidi....wengi tu

Diamond hajafikisha heshims za akina marijani rajabu

Umekurupuka, umepagawa
 
Ulisemalo ni kweli hawa viumbe wanastahili sanamu pale posta na sio hao tu hata Mwenyekiti mbowe pamoja na lissu
 
Point sio kuwaleta hao,ofcourse kuna watu wanauwezo wa kuwaleta zaidi ya hao,tena wanaweza wakawaalika waje waimbe kwenye birthday za familia tu kwa pesa,point ni alipotoka mpaka alipo jamaa ni hardworking!!
Kuna wasanii wangapi wanaoimba na kuwa na mashairi mazuri zaidi ya Diamond??wapo wap?
Ushawishi bila pesa,. Hao Pesa ndo Imewaleta hapa.. Na Si Ushawishi wa Diamond Hao wanaweza kuletwa hata na Ebitoke kama pesa anayo..

Alilolifanya Diamond ni jambo la Kawaida watu Walishafanya sana.. Anayofanya ni Marudio
 
kwani wakipewa hao kina mirambo wakina marijan rajabu hazitawatosha hizo PHDs? wote??simaanishi apewe Diamond peke ake,wapewe ote walioleta mabadiliko chanya kwa Taifa!!

Diamond afanye kitu gani kingine ambacho kingestahili apate Recognisation??

Dogo haukutulia!

Una modify content kadili unavyoulizwa au kupewa challenge

Acha mahaba

Furahia muziki mzuri wa diamond, ukienda mbele zaidi kwa mahaba haya, utakuwa mwehu
 
Diamond hajatoka kwenye maisha ya chini sana..kasoma private school .kukaa Tandale sio sababu..huwezi kufananisha na maisha duni ya vijijini..hivi mashairi ya nyimbo za Diamond unaweza kuyahifadhi kwenye kitabu wanafunzi wasome fasihi?
 
Back
Top Bottom