fikirikwanza
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 7,452
- 3,071
maskini akiokota naona yanalia mbwata sasa, kwa lipi wajameni?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Diamond hajatoka kwenye maisha ya chini sana..kasoma private school .kukaa Tandale sio sababu..huwezi kufananisha na maisha duni ya vijijini..hivi mashairi ya nyimbo za Diamond unaweza kuyahifadhi kwenye kitabu wanafunzi wasome fasihi?
Acha wee ,kajaza Arena UK inayoingiza watu 20 elfu unazani swala dogo.We jichekeshe alafu ucheke mwenyewe ila Wizkid bila dola 150,000 hujampata.Wizkid na tiwa hata mimi nikiamua nawaleta bongo,kwani sh ngapi hata $10000 haifiki,ila salute kwa mtu aliyewaleta Rick Ross na fifty
Kwa samata hapana, ila diamond anastahili.Niende kwenye mada moja kwa moja.
Kwa msanii kama Wizkid na Tiwa Savage kuja Tanzania, kualikwa na mtoto wa Tandale, mtoto alielelewa na single mother kwa maisha ya kubangaiza, mtoto ambaye hata Form 4 hajamaliza kama kamaliza basi kafeli) ni bonge la achievement.
KiukwelI Diamond kaleta mabadiliko makubwa mno na anastahili sanamu lake liwekwe pale mjini posta,na kumbukumbu zake ziwekwe makumbusho ya taifa, apewe hata PhD ya heshima akiwa hai tusisubiri afe ndo tuanze unafiki! Leo hii Diamond ameajiri watu zaidi ya 200, wenye elimu kumzidi na wasio na elimu. Watanzania tuweke unafiki na ushabiki pembeni, tuanze ku- appreciate vya kwetu.
Pia kuna mtu kama Samatta (SamaGoal), naye anastahili heshima ya PhD na sanamu lake liwekwe pale nje Uwanja wa Taifa.
Wapo wengi sana walioleta mabadiliko kwa nchi yetu tuwaenzi hawa ma living legends wetu tusisubiri wafe ndio tuanze UNAFIKI!!
Kwangu naona masoud kipanya anastaili kupewa hyo Phd
We hata laki 5 tu mfukoni huna.Bado si hela ya kutisha
Laki 5 mfukoni ifanye nini sasa!We hata laki 5 tu mfukoni huna.
Bado si hela ya kutisha
Kama ninayo vilee 😀😂😂😂😁😁🤣🤣🤣🤣Wacha weeeee 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂.