Diamond Platnumz na Nandy Wazoa Bilioni 3 huko Mombasa kwenye harusi ya Zakir, Mwana wa Bilionea Imran Kholsa. Rais wa Kenya Miongoni mwa Wageni

Diamond Platnumz na Nandy Wazoa Bilioni 3 huko Mombasa kwenye harusi ya Zakir, Mwana wa Bilionea Imran Kholsa. Rais wa Kenya Miongoni mwa Wageni

ndio ufahamu mkuu kuwa ni uzushi, hujawazoea wasanii wa kibongo kwa kujipaisha?
East Africa hakuna tajiri mwenye hzo pesa za mchezo,anayeamini Diamond kapewa hzo pesa ni kichaa,Mukesh Ambani ambaye ni tajiri no 6 duniani alimlipa Rihanna 8b katika pre wedding ya mtoto wake na ikawa story dunia nzima.East Africa haina tajiri ambaye yuko hata 10 bora ya Africa.Beside hakuna watu wanaoijua pesa kama matajiri Diamond akipewa offer hata ya 250 atakimbilia hyo offer kwa miguu why mtu atoe 2b.wasanii wetu wanadhania kila mtanzania ni mjinga.
 
Back
Top Bottom