Diamond Platnumz na Samatta nani ana mshiko mrefu?

Ukishajua itakuwaidia nini shehe wangu.
 
Jamiiforums ina watu wa hovyo tu. Jamaa lengo lake halikuwa baya kabisa

Kimtazamo diamond na samata mimi naona samata yupo njema sana kuliko diamond kwa kuwa signing fee yake tu ni hela diamond anaifukuzia hata miaka mitatu.
 
Hapo kitaani kwako unakamata namba ngapi ndugu?.
 
Domo ameajiri wstu kadhaa anawalisha....analipa kodi kibao za nchini haoa bado fujo mandinga nazo....unataka nn sasa??
 
Hii inakusaidia nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…