Muuza madafu wa Ikulu
JF-Expert Member
- Feb 21, 2024
- 1,277
- 2,888
AiseeeeeMwanaume unaulizia pesa za wanaume wenzio ? Nenda upewe pesa za bure
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AiseeeeeMwanaume unaulizia pesa za wanaume wenzio ? Nenda upewe pesa za bure
Ukishajua itakuwaidia nini shehe wangu.Hivi kati ya Diamond Platnumz na Samatta nani anaweza kuwa na pesa nyingi kumzidi mwenzie? Mimi naona Samatta, kuishi Ulaya zaidi ya miaka nane halafu kucheza Aston villa huku unalipwa milion Mia kwa wiki hii ni wazi kuwa Samatta ana mpunga mrefu sana ila hajataka kuyaweka wazi mafanikio yake ya kipesa.
Diamond Platnumz yeye ni tajiri wa magari na show off.
😂😂😂Ukishajua itakuwaidia nini shehe wangu.
Hapo kitaani kwako unakamata namba ngapi ndugu?.Hivi kati ya Diamond Platnumz na Samatta nani anaweza kuwa na pesa nyingi kumzidi mwenzie? Mimi naona Samatta, kuishi Ulaya zaidi ya miaka nane halafu kucheza Aston villa huku unalipwa milion Mia kwa wiki hii ni wazi kuwa Samatta ana mpunga mrefu sana ila hajataka kuyaweka wazi mafanikio yake ya kipesa.
Diamond Platnumz yeye ni tajiri wa magari na show off.
Domo ameajiri wstu kadhaa anawalisha....analipa kodi kibao za nchini haoa bado fujo mandinga nazo....unataka nn sasa??Hivi kati ya Diamond Platnumz na Samatta nani anaweza kuwa na pesa nyingi kumzidi mwenzie? Mimi naona Samatta, kuishi Ulaya zaidi ya miaka nane halafu kucheza Aston villa huku unalipwa milion Mia kwa wiki hii ni wazi kuwa Samatta ana mpunga mrefu sana ila hajataka kuyaweka wazi mafanikio yake ya kipesa.
Diamond Platnumz yeye ni tajiri wa magari na show off.
Hii inakusaidia nini?Hivi kati ya Diamond Platnumz na Samatta nani anaweza kuwa na pesa nyingi kumzidi mwenzie? Mimi naona Samatta, kuishi Ulaya zaidi ya miaka nane halafu kucheza Aston villa huku unalipwa milion Mia kwa wiki hii ni wazi kuwa Samatta ana mpunga mrefu sana ila hajataka kuyaweka wazi mafanikio yake ya kipesa.
Diamond Platnumz yeye ni tajiri wa magari na show off.