Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha KakaJambazi umeuwaHawa jamaa wangeshinda, wangetolewa kwa virungu stejini.
Hilo pozi la diamond kama vile kabanwa au hiyo suti au ndo swagger
Ahahaha! Uchokozi huo!
wanajipendekeza haohakuna ishu ya kujadili hapo, mbona mimi huwa natandika pamba na my wife lakini huwa hamtusifu
Hahaha hapo hamna cha swagger wala mikogo tatizo vyuma anavyonyanyua bila utaratibu.Hilo pozi la diamond kama vile kabanwa au hiyo suti au ndo swagger
Hahaha hapo hamna cha swagger wala mikogo tatizo vyuma anavyonyanyua bila utaratibu.
Kutoka tandale hadi hapo anahitaji kupongezwa na kuheshimiwa.....
usikute aliosoma nao wote mateja now
Hahaha hapo hamna cha swagger wala mikogo tatizo vyuma anavyonyanyua bila utaratibu.
sio dharau my point nikuwa amejitahidi mno kufika hapo
apongezwe na aheshimiwe kwa stage aliyofika....ukilinganisha na alipotoka