ndanda masasi
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 772
- 1,177
Napenda kufatilizia post zako ciishiwi hamu kuzisomawalipendeza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Napenda kufatilizia post zako ciishiwi hamu kuzisomawalipendeza
Napenda kufatilizia post zako ciishiwi hamu kuzisoma
Sipati picha wangepata tuzo team wema zingeanza nyota ya wema nyota ya wema ooooo sasa hivii sijui hizo team
umeona eeh?.Napenda kufatilizia post zako ciishiwi hamu kuzisoma
Hilo pozi la diamond kama vile kabanwa au hiyo suti au ndo swagger
Kutoka tandale hadi hapo anahitaji kupongezwa na kuheshimiwa.....
usikute aliosoma nao wote mateja now
Khaaah..watu mna majichoo!
Hahahahahaha
Nina jicho la tatu kazi yake huwa ni kuzoom vitu
Kutoka tandale hadi hapo anahitaji kupongezwa na kuheshimiwa.....
usikute aliosoma nao wote mateja now
nimekuja mbio nilidhani kavaa ile min siketi yake!loh