Diamond-Platnumz na Wema Sepetu(MAMA 2014) walitisha, couple zuri sana

People love them. Ukinuna ni roho yako tu.
 
Watu hawalioni hilo, bali wanachojua ni kuponda tu!!!! Baadhi ya Watanzania tabia zao zinasikitisha sana kusema kweli. Dah!!!! Ile kuwa nominated tu ni ushindi mkubwa sana kwa kuiwakilisha Tanzania. Huwa nafuatilia sana blog mbali mbali za Wanigeria kuhusiana na akina P Square sijawahi kuona wakipondwa hata siku moja labda wenye blog zao huwa wanazifuta. Tuna safari ndefu kusema kweli.

Kutoka tandale hadi hapo anahitaji kupongezwa na kuheshimiwa.....
usikute aliosoma nao wote mateja now
 
Namuona Dayadomo yupo na dikshenari yake...

Kama angelishinda bila shaka spichi yote ya ung'eng'e angeimwaga Wema...
 
nimekuja mbio nilidhani kavaa ile min siketi yake!loh
 
Wamependeza sana na hongera kwa Diamond kufika hapo alipofika. Ila mwenzenu mie hio picha naona kama vile Diamond attention yoote iko kwenye zoezi la kupigwa picha na si uwepo wa Wema pembeni yake; Ili hali Wema yeye pamoja na kuwa anapigwa picha lakini focus iko kwa "baby wake" shurti kwa kumshika mkono.... Ni mtazamo tu!
 
Walitisha xna wenye wivu mjinyonge jaman..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…