Diamond Platnumz na Yemi Alade waula Africa 2015

Diamond Platnumz na Yemi Alade waula Africa 2015

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,386
Siku moja baada ya AFRIMMA kutoa list ya wasanii 15 bora wa Africa, huku Diamond platnumz aking'aa kwa kushika namba 1, akifuatiwa na Wizkid, 3. Olamide na 4. Davido.

Magazine nyingine kubwa Africa NEW AFRICAN MAGAZINE imetoa lists ya watu mbalimbali katika sector tofauti waliokuwa na ushawishi mkubwa Africa , rais wa Nigeria BUHARI, Tajiri namba 1 Africa Aliko Dangote, wameng'aa vilivyo. Tanzania imeng'alishwa na mtu 1 pekee tena ni kwenye sector ya music na ni Diamond platnumz.

New African magazine ‏@NewAfricanMag 13h13 hours ago
Tanzania's musical gems, we congratulate @diamondplatnumz on an amazing 2015 #MostInfluentialAfricans2015

Mbunge Zitto Kabwa hakusita kumpongeza Diamond platnumz kwa mafanikio hayo
Zitto Kabwe Ruyagwa ‏@zittokabwe 13h13 hours ago
@NewAfricanMag @diamondplatnumz heartfelt congratulations to my brother and patriot Naseeb
Kwa upande wa wanawake Yemi Alade wa Nigeria ameibuka kidedea
New African magazine ‏@NewAfricanMag 13h13 hours ago
Here is Mrs. Johnny! Nigeria's @yemialadee also makes it on to our #MostInfluentialAfricans2015 list. Congrats!
 

Attachments

  • chibu.jpg
    chibu.jpg
    48.2 KB · Views: 742
Watamshindanisha na kibakuli lakini hawataweza kwa vile hata wanapoleta listi ya wasanii 20 bora Afrika kiba bado haonekani. Sembuse kwenye watu wenye ushawishi ndio kabisa hawezi kuonekana kiba.
 
Anastahili maisha bwana?!!kutoka mavumbini hadi kuketi na wafalme.Kweli mungu si asumani.Hongera sana platnumz.
 
Watamshindanisha na kibakuli lakini hawataweza kwa vile hata wanapoleta listi ya wasanii 20 bora Afrika kiba bado haonekani. Sembuse kwenye watu wenye ushawishi ndio kabisa hawezi kuonekana kiba.

Wanasema kiba hawezi kuonga pesa ili afanikiwe
 
Waulize kwa lipi tumuite yeye mfaulme au kwa kuwa anasauti nzuri kuliko Wema sepetu au kwa vile anatoka na Jojo ????????????????

Alikiba namuonea huruma sana mashabiki wake wamemuonea sana kumfananisha na platinum z.hajiamini tena sidhani kama anaweza toa ngoma kali tena,huruma anatia huruma.Bora wasinge mlinganisha na mond huenda nae angefika mbali kimataifa.
 
Back
Top Bottom