Mpanda nyangobe
JF-Expert Member
- Apr 30, 2015
- 762
- 1,688
What's wrong with that phrase dude?... He is a platinum that's right.. By the way do u know the ancient meaning of platnum?"I am a platinum" jamani hizi lugha za watu kama hatuziwezi tutafute hata wa kutupiga msasa.
Kapewa degree ya heshima mkuu , kwa hiyo watu Kama kina Ronaldo, messi ,tigerwood etc , wanaitajika waende darasani hili wapate vyeti ?Akili mbovu za diamond ..mbona mark wa fb ka graduate juzi..sasa fb na wcb nini zaidi
Kapewa degree ya heshima mkuu , kwa hiyo watu Kama kina Ronaldo, messi ,tigerwood etc , wanaitajika waende darasani hili wapate vyeti ?
Don't confuse intelligence with educationJamaa ana akili saana ingawa hana vyeti ? Cha kujiuliza elimu ya kupewa ya vyeti ni kigezo sahihi cha kupima uwezo wa mtu kiakili ?
Mark ali-drop chuo mwaka wa pili au wa kwanzaAkili mbovu za diamond ..mbona mark wa fb ka graduate juzi..sasa fb na wcb nini zaidi
poa mkuuHaiwezekani eeh? Ww kusoma unadhani ni kwenda darasani tu eeh!! Basi sawa
sasa mbona mtu akifaulu saana shuleni anaambiwa ana akili kweli ?Don't confuse intelligence with education
sioJamaa ana akili saana ingawa hana vyeti ? Cha kujiuliza elimu ya kupewa ya vyeti ni kigezo sahihi cha kupima uwezo wa mtu kiakili ?
Hahahaaa, binafsi nashangaa saana kuhusu hilosio
angalia makonda, mweke na hao maprofesa unaowajua wewe, anawaacha mbali sana kwa hoja, kueleweka, kuwa creative
Yupo sahihi au English Grammar zinapiga chenga mkuu. Herufi "a" humaanisha "one" yaani kitu kimoja. Sasa kazi kwako kuunganisha "a" halafu katafute maana ya platinum... refer on dictionary."I am a platinum" jamani hizi lugha za watu kama hatuziwezi tutafute hata wa kutupiga msasa.
"A" huwekwa kwenye kitu kinachohesabika.Yupo sahihi au English Grammar zinapiga chenga mkuu. Herufi "a" humaanisha "one" yaani kitu kimoja. Sasa kazi kwako kuunganisha "a" halafu katafute maana ya platinum... refer on dictionary.