Diamond Platnumz:Naogopa kuanguka na naiogopa kesho

Diamond Platnumz:Naogopa kuanguka na naiogopa kesho

"I am a platinum" jamani hizi lugha za watu kama hatuziwezi tutafute hata wa kutupiga msasa.
What's wrong with that phrase dude?... He is a platinum that's right.. By the way do u know the ancient meaning of platnum?
 
Akili mbovu za diamond ..mbona mark wa fb ka graduate juzi..sasa fb na wcb nini zaidi
Kapewa degree ya heshima mkuu , kwa hiyo watu Kama kina Ronaldo, messi ,tigerwood etc , wanaitajika waende darasani hili wapate vyeti ?
 
Kapewa degree ya heshima mkuu , kwa hiyo watu Kama kina Ronaldo, messi ,tigerwood etc , wanaitajika waende darasani hili wapate vyeti ?

Haiwezekani eeh? Ww kusoma unadhani ni kwenda darasani tu eeh!! Basi sawa
 
bc4e0296d4f38b6a58d11534a10219e8.jpg
 
Akili mbovu za diamond ..mbona mark wa fb ka graduate juzi..sasa fb na wcb nini zaidi
Mark ali-drop chuo mwaka wa pili au wa kwanza

Tofauti ni kubwa na pia degree yenyewe ni ya heshima ,kama codes anazijua na tayari kawa billionaire na makampuni yapo onfire

Degree ni ya prestige tu
 
Jamaa ana akili saana ingawa hana vyeti ? Cha kujiuliza elimu ya kupewa ya vyeti ni kigezo sahihi cha kupima uwezo wa mtu kiakili ?
sio

angalia makonda, mweke na hao maprofesa unaowajua wewe, anawaacha mbali sana kwa hoja, kueleweka, kuwa creative
 
"I am a platinum" jamani hizi lugha za watu kama hatuziwezi tutafute hata wa kutupiga msasa.
Yupo sahihi au English Grammar zinapiga chenga mkuu. Herufi "a" humaanisha "one" yaani kitu kimoja. Sasa kazi kwako kuunganisha "a" halafu katafute maana ya platinum... refer on dictionary.
 
Yupo sahihi au English Grammar zinapiga chenga mkuu. Herufi "a" humaanisha "one" yaani kitu kimoja. Sasa kazi kwako kuunganisha "a" halafu katafute maana ya platinum... refer on dictionary.
"A" huwekwa kwenye kitu kinachohesabika.

Mtu anakuwa sahihi anaposema "I am a platinum bar" lakini si "I am a platinum".

You might as well say "I am a water".

Taratibu. Lugha za watu hizi.
 
Back
Top Bottom