Diamond Platnumz Ndani ya Jumba la Big Brother Africa: (Live Updates)

nasikia humu kuna msanii thread yake ina pages sijui 130 wanasema kafunika.....kwa mfano thread zooooote za diamond zikiwekwa pamoja si zitakuwa pages 10,000!!!!! halafu celebrity forum itabaki na thread 3???!
 
hahaha,maneno kuntuuu.hili jukwaa kama mond kalinunua vile
 
nasikia humu kuna msanii thread yake ina pages sijui 130 wanasema kafunika.....kwa mfano thread zooooote za diamond zikiwekwa pamoja si zitakuwa pages 10,000!!!!! halafu celebrity forum itabaki na thread 3???!

hahaaaa halafu huyo msanii ana thread moja tu
 
nasikia humu kuna msanii thread yake ina pages sijui 130 wanasema kafunika.....kwa mfano thread zooooote za diamond zikiwekwa pamoja si zitakuwa pages 10,000!!!!! halafu celebrity forum itabaki na thread 3???!

Waambieee wao uzi mmoja tu sasa sie ziunganishwe thread zote za Daimond waonee,,,halaf sie tumeanza muda si mrefu wao wametutanguliaa,kwanza wanachojadili hakipo maana hakuna video wala nyimbo mpya heheeeeeeee
 
wanajadili ESCROW
 
Wadau ,, mi naona kama kiswahili kigumu..

Mara ngapi niseme DI ndo mchezo....
 
Na kwanini hawa Mods hawa zi MERGE uzi za DI to one thread..

Moderator
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom