Diamond Platnumz ndio tajiri wa kwanza kumiliki helicopter ya kifahari

sinza pazuri

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2014
Posts
3,344
Reaction score
9,066


Baada ya kununua helicopter yake ya kifahari, Diamond Platnumz ndio anakuwa mtanzania wa kwanza kumiliki helicopter ya kifahari.

Wapo matajiri wengine waliwahi miliki helicopter za kuungaunga ila tajiri huyu mdogo sana kiumri mzaliwa wa Tandale anamiliki helicopter ya kifahari.

Helicopter hii ni maandalizi ya ujio wa ndege yake binafsi ya kifahari sana ambayo ni suala la muda itakuja kuwapa watu kisukari cha kupanda na kushuka.

Salute sana Diamond unatuheshimisha watoto wa uswazi.
 
Hongera zake
 
Kama unafikiri kuwa Diamond Platnumz ni kitu cha kawaida basi subiri siku hayupo itatuchukua miaka mingapi kumpata kama yeye tena
Sio zawadi kutoka kwa Mungu ni mwanadamu Kama wengine ktk uso wa ardhi na anayofanya anafanya kwa maslahi yake na vizazi vyake na wnaaomzunguka,Hana michango wowotw kwa siye wengine kwa kua anachofanya kwangu hakina athari yoyote Ile chanya au Hadi..
SEMA Mungu ameamua kumpa hata kwa Njia isiyo ya halali pia
 
 
Ina maana ile ndege haikuwa kweli
 
Pigia mstari kweli mzaliwa wa tandale vip kwenye ile nyimbo ya Kigoma all star alifata nini, any way nakutania tu mpiga zumari wa mond, Hongera kwake na Mungu wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…