Diamond Platnumz ndio tajiri wa kwanza kumiliki helicopter ya kifahari

Kuna jamaa hapa kijiweni anasema hiyo elkopta kainunua kwa hela alizomnyonya Rayvanny🐒
 
Mkuu hii "hedikopta ' mbona ina usajiri wa Uganda? 5X
 
Habari za tajiri muulize masikini,

Kijana muda haumsubiri mtu,angalia tu usije ukawapa ndugu zako kazi ya kukuleo huko mbeleni...anyway lini tena utaleta thd ya kumponda Rayvanny?
 
Hivi vijana mmekuja kuwaje? Au ndo upungufu wa ajira,yani ww 24/7 unamsifia mwanaume mwenzio hujionei tabu ata ukapumzika kidogo?
 
Sisi mashabiki bado tunasubiri chopa itue Nchini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…